Mke mwema ni yupi?

Mke mwema ni yupi?

Hacon

Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
63
Reaction score
23
Hello wanajamvini.
Tusaidianeni mawazo wakubwa,mke mwema ni yupi na anatabia gani maana wengi ndiyo wanamapenzi sio tatizo na nijitolee mfano mimi,nna nyota ya kupendwa na wanawake wengi na natamani nijue sahihi kwangu ni yupi.
Msaada wenu naombeni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa umewauliza wanawake au wanaume?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mke mwema anatoka kwa mungu usijichoshe kumtafuta omba mungu tu ikifika wakati atakuja!!!!
Ila kama unataka mke mwema kwa macho yako wako wakumwaga!!!
lazima ujue si kila mwanamke ni wa ndoa kuna wengine ni wastarehe tu!!
 
MKE MWEMA NI YULE ATAKAYE KUJARI WEWE NA SHIDA ZAKO....YULE MWANAMKE UTAKAYE MPATA KIPINDI UPO KWENYE WAKATI MGUMU WA MAISHA....FEDHA HUNA...MALI HUNA KISHA AKAKUPENDA NA KUKUJARI HUYO MSHIKE USIMUACHE...LAKINI MARA NYINGI MKE MWEMA HUWA HANA SIFA UNAZOZIHITAJI...
 
Back
Top Bottom