Mke mwenye gubu utamjua tu asubuhi mkiamka

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
7,828
Reaction score
9,546
Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuamsha mkewe

MUME:Amka twende jogging mke wangu?

MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?

MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya.

MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa?

MUME: Basi yaishe endelea kulala

MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?

MUME:Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby

MKE:Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?

MUME:Jamani mi sijasema hilo

MKE:Kwa hiyo mie muongo?

MUME:Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii

MKE:Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?
MUME:Sikia we lala mie naenda jogging.

MKE:Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"

MUME:Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu

MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe......
 
Gubu maana me
 
Dawa yake ni kumtaftia 'Kikosi cha pili' akianza tu Gubu unafanya Mabadiliko madogo
 
Itabidi mume aombe talaka sasa maisha ya hivyo siyawezi
 
Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuamsha mkewe

MUME:Amka twende jogging mke wangu?

MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?

MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya.

MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa?

MUME: Basi yaishe endelea kulala

MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?

MUME:Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby

MKE:Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?

MUME:Jamani mi sijasema hilo

MKE:Kwa hiyo mie muongo?

MUME:Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii

MKE:Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?
MUME:Sikia we lala mie naenda jogging.

MKE:Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"

MUME:Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu

MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe......
Hawa viumbe akili zao wanazijua wenyewe
 
Safe
 
Kata makofi.
 
Back
Top Bottom