Mke mwenye hizi sifa 16 anahitajika haraka

Mke mwenye hizi sifa 16 anahitajika haraka

Kama tu Mwenyezi Mungu anachagua mtu ambaye mwenye utayari tu, wewe Mjaa dhambi za kila aina unakuja na vigezo kama unajaza form ya kazi UN, ambavyo hata kumuumba wa robo ya hivyo huwezi.
 
Kama tu Mwenyezi Mungu anachagua mtu ambaye mwenye utayari tu, wewe Mjaa dhambi za kila aina unakuja na vigezo kama unajaza form ya kazi UN, ambavyo hata kumuumba wa robo ya hivyo huwezi.
Mwenye vigezo Hivyo Karibu Sana.
 
Kama tu Mwenyezi Mungu anachagua mtu ambaye mwenye utayari tu, wewe Mjaa dhambi za kila aina unakuja na vigezo kama unajaza form ya kazi UN, ambavyo hata kumuumba wa robo ya hivyo huwezi.
Mwenye vigezo hivyo Karibu Sana.
 
Hiyo number 5 umeharibu kabisa. Huyu jamaa ni kama Baltazar tu
Kila Mtu ana Imani yake,mimi namkubali sana Mwamposa.

Mwanamke anayemkubali Mwamposa na Wenzake nitamwelewa zaidi.

Fuata Imani Yako na mimi Nina yangu.Asante
 
Kama tu Mwenyezi Mungu anachagua mtu ambaye mwenye utayari tu, wewe Mjaa dhambi za kila aina unakuja na vigezo kama unajaza form ya kazi UN, ambavyo hata kumuumba wa robo ya hivyo huwezi.

Karibu Sana
 
Vigezo;

1. Miaka 37 Mpaka 42

2. Amezaliwa Mara ya Pili.

3. Amejazwa Roho Mtakatifu.

4. Amebatizwa Maji Mengi.

5. Anaipenda na Kukubali Huduma ya Boniface Mwamposa Pamoja na Mitume na Manabii Wote Wenye Makanisa.

5. Aliye Tayari kuwa Mama Mchungaji.

6. Aliye Tayari kuishi mazingira Yoyote akiambatana na mumewe

7. Aliyezaliwa Kati ya tarehe 8/10/11/16/19

Mwezi wa 6 ,10,na Mwezi wa 12 Katika tarehe hizo tu.

Au Tarehe 26,29 na 31 katika Mwezi wa 5,9 na 11.

8. Mwenye Jina Linalo anza na herufi zifuatazo;

A,b,m,r,s,e,I,q,w,c,o

9. Mcha MUNGU Mwenye uwezo wa kusamehe

10. Mwana maombi

11. Asiwe msengenyaji.

12. Awe Tayari kuishi Arusha na Kenya.

13. Asiwe tegemezi kwa 100%

14. Awe Tayari kuwa interview.

15. Anayependa sana NENO la MUNGU.

16. Mpenzi wa Kusoma Vitabu Vya Kiroho na Vya kuelimisha kuhusu Maisha.

Muoaji akiridhishwa Ndoa ni haraka sana.

Kwa Mawasiliano zaidi;

Tuma ujumbe kwenda

Email: emmanuelpaul2050@gmail.com

Au Weka Namba Yako ya WhatsApp,

Muoaji Atawasiliana Nawe kwa haraka.

Wenye vigezo Hivyo nyote mnakaribishwa.
🙌🙌
 
Hakuna muoaji hapa!!
Huyu kama chuma ulete tu ni Baltazari wa Bongo!
Print hilo tangazo kaweke kanisani pale Tanganyika packers Kawe kuna maelfu ya wanawake watakuja.

Sent from my SM-A325N using JamiiForums mobile app
 
Vigezo;

1. Miaka 30 Mpaka 41

2. Amezaliwa Mara ya Pili.

3. Amejazwa Roho Mtakatifu.

4. Amebatizwa Maji Mengi.

5. Anaipenda na Kukubali Huduma ya Boniface Mwamposa Pamoja na Mitume na Manabii Wote Wenye Makanisa.

5. Aliye Tayari kuwa Mama Mchungaji.

6. Aliye Tayari kuishi mazingira Yoyote akiambatana na mumewe

7. Aliyezaliwa Kati ya tarehe 8/10/11/16/19

Mwezi wa 6 ,10,na Mwezi wa 12 Katika tarehe hizo tu.

Au Tarehe 26,29 na 31 katika Mwezi wa 5,9 na 11.

8. Mwenye Jina Linalo anza na herufi zifuatazo;

A,b,m,r,s,e,I,q,w,c,o

9. Mcha MUNGU Mwenye uwezo wa kusamehe

10. Mwana maombi

11. Asiwe msengenyaji.

12. Awe Tayari kuishi Arusha na Kenya.

13. Asiwe tegemezi kwa 100%

14. Awe Tayari kuwa interview.

15. Anayependa sana NENO la MUNGU.

16. Mpenzi wa Kusoma Vitabu Vya Kiroho na Vya kuelimisha kuhusu Maisha.

Muoaji akiridhishwa Ndoa ni haraka sana.

Kwa Mawasiliano zaidi;

Tuma ujumbe kwenda

Email: emmanuelpaul2050@gmail.com

Au Weka Namba Yako ya WhatsApp,

Muoaji Atawasiliana Nawe kwa haraka.

Wenye vigezo Hivyo nyote mnakaribishwa.
Mrejesho;

Mwoaji amempata Mwanamke mwenye vigezo 15 kati ya 16 na sasa anaanza mchakato rasmi Kufungua Ndoa.

Asanteni kwa ushirikiano wenu wadau.
 
Back
Top Bottom