Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe!
Ujeuri wake hauangalii kamwe usingle mother wake, wala msaada unaofanywa na mumewe wa kuishi na mtoto wake aliyemkuta. Ye ni kumjeuria tu mumewe muda wote tangu mwaka wa kwanza wa kuoana kwao....kasababu kadogo tu maneno ya nyodo mengiiiiii; 'una nini wewe?', 'nipe talaka kama utaniona Hapa?', 'mjinga mwenyewe!', 'lofa mwenyewe!', 'unanini hadi nikutafute?' N.k.
Mume sasa amenyoosha mikono juu, haoni bright future yoyote na mke huyu zaidi ya kuchaangana mapanga tu siku moja isiyo na jina. Lakini sasa juu ya uamuzi huu kuna tatizo moja; mke ni mjamzito tangu mwezi wa tano! Inakuaje hapa?