Mkuu! Hawa viumbe kuishi nao unahitaji msaada wa ziada! Ona! Kwa mfano! Mfanyabiashara aliyefanikiwa kibiashara atakwambia blah! blah! nyingi kuhusu biashara lakini nyuma yake mh? Sasa ndo maana unapotaka kuoa kuna mambo fulani ya makubaliano kati ya familia/ukoo wa mke ili wamwachilie kwa amani na upande wako wewe mwanamme ambayo yanatakiwa yafanyike ili akubalike katika familia ukoo wenu!Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe!
Ujeuri wake hauangalii kamwe usingle mother wake, wala msaada unaofanywa na mumewe wa kuishi na mtoto wake aliyemkuta. Ye ni kumjeuria tu mumewe muda wote tangu mwala wa kwanza wa kuoana kwao....kasababu kadogo tu maneno ya nyodo mengiiiiii; 'una nini wewe?', 'nipe talaka kama utaniona Hapa?', 'mjinga mwenyewe!', 'lofa mwenyewe!', 'unanini hadi nikutafute?' N.k.
Mume sasa amenyosha mikono juu, haoni bright future yoyote na mke huyu zaidi ya kuchaangana mapanga tu siku moja isiyo na jina. Lakini sasa juu ya uamuzi huu kuna tatizo moja; mke ni mjamzito tangu mwezi wa tano! Inakuaje hapa?!!!
Mwanaume anavumiliaje ujinga huuNahisi jamaa kwa kipindi kama hiki ajifanye mjinga, mbengu yake iliyotumboni ikue vyema, pia ajitahidi kukwepa aina yoyote ya mivutano.. kama mwanaume anaweza soma mchezo akaelewa.. ajitahidi tu .. ila asimuache katika hali hiyo.. labda kama kachomekewa.
Hili wangelipeleka ofisi za CCM walitazame.Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe!
Ujeuri wake hauangalii kamwe usingle mother wake, wala msaada unaofanywa na mumewe wa kuishi na mtoto wake aliyemkuta. Ye ni kumjeuria tu mumewe muda wote tangu mwaka wa kwanza wa kuoana kwao....kasababu kadogo tu maneno ya nyodo mengiiiiii; 'una nini wewe?', 'nipe talaka kama utaniona Hapa?', 'mjinga mwenyewe!', 'lofa mwenyewe!', 'unanini hadi nikutafute?' N.k.
Mume sasa amenyoosha mikono juu, haoni bright future yoyote na mke huyu zaidi ya kuchaangana mapanga tu siku moja isiyo na jina. Lakini sasa juu ya uamuzi huu kuna tatizo moja; mke ni mjamzito tangu mwezi wa tano! Inakuaje hapa?
Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe!

Mkuu najua kuvumilia lkn sio aina hii ya mwsnamke, aende tu.Nahisi jamaa kwa kipindi kama hiki ajifanye mjinga, mbengu yake iliyotumboni ikue vyema, pia ajitahidi kukwepa aina yoyote ya mivutano.. kama mwanaume anaweza soma mchezo akaelewa.. ajitahidi tu .. ila asimuache katika hali hiyo.. labda kama kachomekewa.
Kati ya vipindi unapotakiwa "kuishi naye kwa akili" ni kipindi hiki cha ujauzito. Mimba inamsumbua. Mvumilie. Akijifungua ataanza kutumia akili zake.Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe!