Mke mwenza wa Manisa (2nda) aomba asifananishwe na vitu vya ajabu

Sura zito kama uji wa muhogo, hizo editing zinawadanganya mno
Weeeee...heshima itawale kwa vitu vyenye historia kubwa na maisha yangu...huo uji wa muhogo mie ndio umenikuza na kunilea mpaka nimekuwa...msomi mpaka nimepata membership ya jamii forum mtandao tishio nchini na duniani kwa ujumla

Sasa unapotokea kuufananusha uji wa muogo na jisura la mja wa mungu asiyetambua wala kujitambua unanikosea haki na heshima mimi na wasomi wenzangu viwango vya jey efu. ...

Nitake radhi mimi na wengineo wooote tuliokuzwa na kulekewa kwa uji wa muhogo. ..kamwe hautokuja kuwa mbayaaa na nzito kama sura ya huyu amba rose....damn ambangudye luluu
 
Ila manisa mzuri....tunda kinacho mbeba ni kujiweka nusu utupu.....ila huyo aliyebaki ndio karasha kabisa
 
ukishua kaanza ukubwani tumeishi nae kota za polisi Morogoro hakua na ukishua wowote
vp aiise kwa mfn saiz ukikuta a na tunda ukimwambia tuliishi wote morogoro,, nadhan atakuruka futi 100,,tabia za mastaa bwaana
 
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenakiwahai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxeceMelo[/HASHTAG]
 
c24492558763286744b46b85b01d569e.jpg

Sasa sijui nani wa ajabu hapo.
 
Ila kitunda nikizuri kitandani unakibinua whatever you want
 
Weeeee...heshima itawale kwa vitu vyenye historia kubwa na maisha yangu...huo uji wa muhogo mie ndio umenikuza na kunilea mpaka nimekuwa...msomi mpaka nimepata membership ya jamii forum mtandao tishio nchini na duniani kwa ujumla

Sasa unapotokea kuufananusha uji wa muogo na jisura la mja wa mungu asiyetambua wala kujitambua unanikosea haki na heshima mimi na wasomi wenzangu viwango vya jey efu. ...

Nitake radhi mimi na wengineo wooote tuliokuzwa na kulekewa kwa uji wa muhogo. ..kamwe hautokuja kuwa mbayaaa na nzito kama sura ya huyu amba rose....damn ambangudye luluu
Hahahaha kunywa maji mwananguuuuuu
 
Ila katunda ni kazuri hivi nikikapa milioni 5 cash hakawezi kunivulia chupi....japo nikaingizie hata kichwa tu.????
 
Back
Top Bottom