Kwa kuenda nyumba ndogo isiyoiba.
Huko mbali...ye amwibie tu vitu akimuuliza anamwambia nimerudishia ule mfuko wa cement uliochukua juzi!
Amshtaki polisi!
Inaonekana ni mwanchama wa Magamba mafisadi!
Umeiona hiyo eee, hata mie imenivunja mbavuhah hahahha hahahhahhahahah :bange:
Ndugu yangu amekuja kuomba ushauri, mke wake ni mwizi, anamwibia pesa kila kukicha. Nguo zake pia huibiwa na mama watoto huyo.
Kibaya zaidi kilichomsikitisha ndugu yangu ni kuibiwa kwa mifuko ya saruji na mabati waliyotaka kuyapeleka saiti.
Mke huyo kila upotevu unapotikea, akiulizwa hajibu kitu zaidi ya kulia.
Jamaa anajiuliza amuache, awajulishe wazazi, ama ampeleke kwa wana saikoloji?
Tumshauri huyu mwenzetu nini afanye
Inaonekana ni mwanchama wa Magamba mafisadi!
ukiokota mwanamke kwenye dansi la msondo ngoma ndo matokeo yake
Hapana, usimdhataki kwa wazee wala kumpeleka polisi!
Huyo ni wako wa maisha, si ndio? Kaeni chini mjiulize tatizo liko wapi na mtafuta ufumbuzi wa pamoja!
the boss una visa.jee sie wapenda taarab?