Mke mzinzi hawezi kumwombea mmewake

Mke mzinzi hawezi kumwombea mmewake

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kama ulikua hujui hili basi leo elewa.

Kazi ya mke kwenye familia ni pamoja na kumwombea mme wake afanikiwe kila jambo.

Kama mke mzinzi basi hapo jua upo peke yako.

Mke mzinzi hawezi kumwombea mme wake.

Moyo wake unapenda watu wawili wakati akiwa anaomba Mungu anaangalia moyo wake Mungu anashindwa kuelewa anamwombea mwanaume yupi.

Mke wako akiwa mzinzi jua hapo umebaki peke yako pambana kujiombea mwenyewe.
 
Sasa hapo sii kila mume ajipambanie mwenyewe maana hamna mke asiyekiwa mzinzi 🤣🤣🤣
 
Mi simuombei ila namuhimiza kutafuta pesa na kumpa michongo.!!
 
Back
Top Bottom