Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Sasa hapo sii kila mume ajipambanie mwenyewe maana hamna mke asiyekiwa mzinzi 🤣🤣🤣Kama ulikua hujui hili basi leo elewa.
Kazi ya mke kwenye familia ni pamoja na kumwombea mme wake afanikiwe kila jambo.
Kama mke mzinzi basi hapo jua upo peke yako.
Mke mzinzi hawezi kumwombea mme wake.
Moyo wake unapenda watu wawili wakati akiwa anaomba Mungu anaangalia moyo wake Mungu anashindwa kuelewa anamwombea mwanaume yupi.
Mke wako akiwa mzinzi jua hapo umebaki peke yako pambana kujiombea mwenyewe.
Pigilia nyundo kabisaaaaKarne ya 21 hakuna mwanamke mwenye mume mmoja period
Hiki ndio kitu nililenga kwa hiyo kila mwanaume ajipambanie mwenyewe. Ukweli umesemwa.Karne ya 21 hakuna mwanamke mwenye mume mmoja period
Basi hii habari iwafikie wanaume wote kama jinsi tulivyo andika andiko hiliSasa hapo sii kila mume ajipambanie mwenyewe maana hamna mke asiyekiwa mzinzi 🤣🤣🤣
sibishi, poa tu nikigundua nafukuza aende kwa huyo mwingine au namkimbia fastaKarne ya 21 hakuna mwanamke mwenye mume mmoja period