ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,244
- 1,741
Kwa jinsi dunia ilivyoharibika????Hata baba anakua hatarini sana tu aisee....
Hapo chacha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsi dunia ilivyoharibika????Hata baba anakua hatarini sana tu aisee....
Inategemea na sehemu, magomeni wakizimika m/ke na m/me anaweza salimika m/ke na m/me asisalimike.Lakini lizzy, hivi kipi rahisi. mwanaume kumbaka mwanamke, au mwanaume kumbaka mwanaume mwenzake??
Lakini lizzy, hivi kipi rahisi. mwanaume kumbaka mwanamke, au mwanaume kumbaka mwanaume mwenzake??
Hapo chacha!
Inategemea na sehemu, magomeni wakizimika m/ke na m/me anaweza salimika m/ke na m/me asisalimike.
Mpendwa Tabutupu, hebu nisaidie kidogo kwenye hii heading....
Mke na pombe, wanaume mnashauri nini????![]()
Ulitaka uchaguzi kati ya Mke na Pombe au ulitaka maoni kuhusu wanawake wanywa pombe??
Please, kama hutajali....
hapo umesema vyema. mwanamke kuitwa mlevi ni aibu.