Mke nakutafuta jamani

Jamal Mwenza

Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
7
Reaction score
1
ALHAMDULILLAH NIMEMPATA NILIYEKUWA NAMTAFUTA NAYE AMENIPATA
SITAFUTI TENA MKE WAPENDWA, NIMEFUNGA UKURASA
 
Tatizo umesema "mpole sanaa"...m watu waliozid upole hua siwawezi ... Naona nimekosa Mme hapa..subir waje mtakaoendana
 
Tatizo umesema "mpole sanaa"...m watu waliozid upole hua siwawezi ... Naona nimekosa Mme hapa..subir waje mtakaoendana
Dada kwani mtu mpole anakuwa sio charming... By the way shukran
 
Mtaani ukikosa mke basi huku tarajia za mbavu.ila kuna demu kinajiita katoto kazuri,ebu mjaribu huyo nahisi hawezi kukataa wito
 
Mtaani ukikosa mke basi huku tarajia za mbavu.ila kuna demu kinajiita katoto kazuri,ebu mjaribu huyo nahisi hawezi kukataa wito
Hamba tofauti yoyote mtaani na huku. Siwezi mfata maana yeye hnifata Nitakuwa namkosea, yeye akipendezwa atanitafta
 
Mtaani ukikosa mke basi huku tarajia za mbavu.ila kuna demu kinajiita katoto kazuri,ebu mjaribu huyo nahisi hawezi kukataa wito
Kwani huyo demu yupo cheap sana ama?
 
Mkuu hapa warning ni usiwe andunje tu.
Mume wa kunistiri uko wapi jamani?
 
Watumie picha yako nao wajiridhishe na wewe
 
Wote wapole..ndani si patadorora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…