Mke nakutafuta jamani

Mke nakutafuta jamani

Tatizo umesema "mpole sanaa"...m watu waliozid upole hua siwawezi ... Naona nimekosa Mme hapa..subir waje mtakaoendana
 
Mtaani ukikosa mke basi huku tarajia za mbavu.ila kuna demu kinajiita katoto kazuri,ebu mjaribu huyo nahisi hawezi kukataa wito
 
Mtaani ukikosa mke basi huku tarajia za mbavu.ila kuna demu kinajiita katoto kazuri,ebu mjaribu huyo nahisi hawezi kukataa wito
Hamba tofauti yoyote mtaani na huku. Siwezi mfata maana yeye hnifata Nitakuwa namkosea, yeye akipendezwa atanitafta
 
Habari wadau, kwa majina naitwa Jamal Mwenza ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni mgeni hume kwa maana ya kwamba sikuwa na account ila nilikua msomaji tu wa maada.

Kikubwa kilichonileta ni kutafta mwenza wa kutengeneza nae maisha. Natafrahi akiwa na umri kuanzia miake 28-35 japo hata hadi 25 sawa tu lakini asiwe chini ya hapo.

Haijalishi Dini wala kabila, rangi wala kuwa kazaa. Mimi ni mpole sanaa hivyo basi nae awe mpole. Kuhusu kipato mimi ni mpambanaji na msomi wa kiwango cha shahada. Ila sina kigezo cha elimu wewe njoo tu hata kama hujapita hata la kwanza tuyajenge na tufanye maisha.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wapendwa na M/Mungu awabariki.
Mkuu hapa warning ni usiwe andunje tu.
Mume wa kunistiri uko wapi jamani?
 
Watumie picha yako nao wajiridhishe na wewe
 
Back
Top Bottom