Mke [serious]

Mke [serious]

124

Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
12
Reaction score
3
Wanajamii!!!!!
Vipi Mambo?

Nami natafuta mke God willing
Nina miaka 38, Gifted by God
Namtafuta Lioness hapa MMU. A seedfull woman to marry.
Umri kuanzia miaka 30-40
Kama una mtoto ooppsss!!! Hakuna jambo zuri kama familia.

Ni Pm Tafadhali kama huko serious.
 
dini hujasema nina rafiki yangu vp nikutumie namba yake na lutheran, ameajiriwa na hana mtoto vp nikuunganishe nae? if u r serious fanya michakato.
 
Miaka yote hiyo ulikuwa wapi?wewe je una watoto?
 
  • Thanks
Reactions: 124
punguza umri,anzia 28 lol,hujasema,umbo unalolitaka,rangi,elimu,ajira au humind???uko wapi?
 
Miaka yote hiyo ulikuwa wapi?wewe je una watoto?

Fe Lady

Dough-nut ni bonge la kitafunio, waweza changanyia na Jam,matunda usiangalie lile shimo!!!!
Kawia ufike.
Ngombe azeeki maini teh teh teh!!!
 
punguza umri,anzia 28 lol,hujasema,umbo unalolitaka,rangi,elimu,ajira au humind???uko wapi?

Jestina

Natafuta mercy and affection
Rangi, elimu, ajira si mind
Niko Tz.
 
Back
Top Bottom