Mke V/S Dada wa kazi

We umevurugwa na maisha... Tupisheee
Unaeelekea kwenda kuvurugwa haswa ni wewe! Angalia wanawake wenye hekima na busara walivyo duniani. .UK, Ujerumani, nk. ..na bado USA. ...nyie mnabaki na uwivu wa kijinga kushindana na madada wa ndani. ...huo ni ujinga. ..badilisha fikra zako na uaim high. .kuwa na matamanio ya maendeleo kwa jamii na nchi nzima...DO NOT PUT YOUR HAPPINESS IN SOMEBODY ELSE POCKET. ...
 
Yop. ...nimpishe aelekee shimoni ..Tuache madada wa kazi wafanye kazi zao! Na tusiwavuruge watoto wetu wa Kike kuwa undermine. ....siyo kwenye dunia ya leo. ...remain blessed my dear
 
Hahahaha nina wasiwasi na wewe kma ni mwanaume kweli au Tayari...

Hujui hata majukumu ya mke
Mimi ni mwanamke. ..my dear. ..na ninafanya biashara za nguvu. ..lakini ni baada ya kubadilisha fikra zangu. ...na kuamini ndani ya moyo wangu kwamba nina thamani kubwa sana!
 
Mimi ni mwanamke. ..my dear. ..na ninafanya biashara za nguvu. ..lakini ni baada ya kubadilisha fikra zangu. ...na kuamini ndani ya moyo wangu kwamba nina thamani kubwa sana!
Basi Sawa nasi Wanaume Hatutaki Wanawake Kama Wewe sasa... Mwanaume Hata Kama Mke Yupo Busy Kuna Kipindi unamiss Kufanyiwa Kitu na Mkeo bhana
 
kweli hii inatokea sana
 
Basi Sawa nasi Wanaume Hatutaki Wanawake Kama Wewe sasa... Mwanaume Hata Kama Mke Yupo Busy Kuna Kipindi unamiss Kufanyiwa Kitu na Mkeo bhana
Usi generalized. .....wanaume wanao kwenda na wakati wanapenda wanawake strong na wenye mapesa na busara na hekima. ....hawataki kuoa watumwa, mwanaume kama wewe uko insecure na unapenda kunyanyasa naona wakati wako umepita, POLE SANA. .....na kumbuka 'wakati ni ukuta ukipambana nao utaumia mwenyewe ' It's a bitter truth my friend just swallow it!
 
Hakuna Mwanaume ambaye Ndani hataki kuwa kichwa Ndani na Kuonyesha Kuwa Yeyey Ni mwanaume ... We Baki hivyo Hivyo wanawake wangapi Wapo kama Wee Hawanw Hata mume Ndani ... Eti mwanamke Strong ila hujui Mwanaume anataka Nn Akirudi home... kuna wanawke Wanapiga kazi Na Wanajua Kuhudumia vile Vile Kuwnzia Mume mpak Familia (mfano Mama yangu) Hao ndo Wanwake Wewe Unatakiwa Kwenda Beijing kwa Wanawake Mnaotaka kupigana Na Mfumo Dume sijui mnaita Mpak mnajisahau
 
This is a WASTE ENERGY kubishana na kitu kama wewe. ....maana hujui kama nime olewa au bado nina watoto au sina. ...sasa sita kupa benefit of doubt. ...MUELIMISHE MWENYE HEKIMA AZIDI KUPATA HEKIMA. ..bye bye
 
Haya bye
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hivi nawe utamtumia house gel kwa kila kitu mpenzi!!!
Mmh nashukuru Mungu hatunaga housegal kwetu hivyo mpaka nakua mkubwa namuona mama ana hustle na kuplay part yake kama mama yeye mwenyewe, na sisi sasa hivi tunafanya shughuli za nyumbani kama kawaida tukipata nafasi...big up to my mom i love her so so.
 
Hivi nawe utamtumia house gel kwa kila kitu mpenzi!!!
House gal najua atahitajika ila kazi ntakazompangia hazitokuwa personal kabisa ambazo zitaleta stress badae. Wanawake wengi nowdays wavivu acha hao waume zao wachepuke
 
House gal najua atahitajika ila kazi ntakazompangia hazitokuwa personal kabisa ambazo zitaleta stress badae. Wanawake wengi nowdays wavivu acha hao waume zao wachepuke
Nakuaminia wew mchapa kazi haupo kwenye hili kundi la 80%
Nakupenda sana sweetie[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Habari njema kwangu hiyo
 
Habari njema kwangu hiyo
You've got yourself a woman who knows how to play her part as a woman in the house...not to break her house with her own hands like few others do...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…