Mke V/S Dada wa kazi

Mke V/S Dada wa kazi

maulana majaliwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
261
Reaction score
141
MUME: Darling nina kikao mkoani kesho naomba niandalie vitu please.
MKE: Dada zile nguo za baba pamoja na soksi ulifua.
DADA:Ndio nimepanga kabatini. mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV sebulen, lakini baada ya muda mama anamuita dada akapange suruali kadhaa na mashati kwa ajili ya safari ya kesho, dada anapanga kila kitu anatoka

MKE: Kama tayari hakikisha unarekebisha yale mashuka pale kitandan weka na maji bafuni, dada anafanya na kwenda zake kulala, asubuhi dada anaamka mapema na kuandaa kila kitu ikiwamo na chai, baba anakunywa chai na kutaka kuondoka.

MKE: Dada msindikize baba ili ufunge geti sbb bado ni giza.

DADA: Sawa mama, dada anatoka na begi la baba hadi nje kwavile mkewe yupo ndani , baba anamtaka dada abaki vizuri na watoto, dada anaitika na kusema nawao wanamuombea safari njema. Baada ya muda baba anarudi toka safari

MKE: Huku akitabasamu, dada si umemuona baba amerudi vipi chakula tayari.

DADA: Ndio.

MKE: Haya kapange meza vizuri mimi nandaa juice. Baada ya muda wanakula na baba anagundua juice sio nzuri anaamua kuiacha na kusema leo wamesahau kuweka baadhi ya vitu hivyo hataweza kuinywa.

Baadae baba anakumbuka kuwa aliacha boxer zake kwenye ndoo ya maji chumban na kufunika mfuniko, anamuuliza mama vipi zile nguo zangu kwenye ndoo zilifuliwa maana nilisahau kusema kama zina maji.

MKe: Dada njoo hapa hivi zile nguo za baba chumbani ulifua.

DADA: Ndio mama lakini hasemi kama alianua na kuweka chumbani kwake akidhan atakunja baada ya kazi kupungua
MKE: Darling zilifuliwa.

MUME: Na watoto vipi wameshalala.
MKE: Anajibu wamelala darling.

MUME: vipi dereva wao alifika kuchukua pesa yake.

MKE😀ada eti uncle Hassan amechukua pesa yake.

DADA:Hapana wamembadilishia gari uncle Hassan amesafiri kwa muda.

MKE:Tutampatia darling siku akirudi acha dada aendelee kuitunza.

MUME: Basi vizuri, ehee vipi na tution walienda leo.

MKE: Ndio walienda anamgeukia dada, si eti ee walienda si eti.

DADA:Hapana Kelvin anaumwa leo siku ya pili nilinunua dawa dukan nimempa lkn hajambo

MKE:Anashangaa hee mtoto mgumu huyu kumbe jana alikua mgonjwa halafu wala!!! alikua anacheza tu jamani watoto,asante dada umefanya vizuri.

MUME: Haya mimi niwaache nataka nikapumzike lkn darl nitaomba zile boxer nichome kabla ya kulala sababu zimeanza kuchoka

MKE: Anaingia chumbani anafungua kabati na kuzikosa lkn kabla hajajieleza anamuona dada analeta mzigo wa boxer zikiwemo chupi za mama na mataulo.

MUME: Basi dada zirudishe tutachambua kesho nenda kafanye kazi zako, mume anainuka na kuelekea kulala, lakini anagundua mke wake alimwaga nguo kitandani wakati anatafuta boxer hivyo anaamua kurudi sebuleni ili aombe. kuandaliwa kitanda, kwavile chumba cha dada kipo jiran na chao anagundua dada ameacha mlango wazi.

Anaamua kuufunga ili mbu wasiingie lakini anaona baadhi ya mashati na suruali zake zikiwa zimenyooshwa na kuwekwa pemben huku kitanda kikiwa kimetandikwa kwa ustadi anaamua kufunga mlango na kutoka, anafika sebuleni anakuta mama anatazama tamthilia anamwambia akatandike kitanda.

MKE: Dada njoo, (kwa sauti ya kunong'ona) naomba ukatandike kitanda haraka.

DADA:Tayari nilipeleka viatu vya baba nikaamua kutoa na zile nguo.

MKE: anaamka na kwenda kuhakikisha anarudi na kumwambia mumewe tayari aende akalale

MUME: anaenda kulala lkn huku akijuiliza sana ni nini amfanyie huyu dada kwa ukarimu anaowafanyia hapo nyumban, kwanza anajua ni vitu gani baba anabeba akiwa safarini, ndio pekee anaemtakia safari njema na kumuombea, ndio anaefua boxer zake na kutunza vizuri, ndio anaepika chakula kitamu, ndio anaetandika kitanda chake, ndio anaejua juice gani baba anapenda, ndio anaejua kama watoto wamerudi vipi kutoka shule, vilevile ndio anaejua kama watoto wake wanaumwa ama vipi.

Sasa mnafikiri baba atamzawadia nini huyu binti ambae amebakiza kujua style anazopenda baba tu, si atamfundisha ili kesho asimsumbue tena mke wake ambae kila kitu lzm amuulize dada.

Akina baba hawaridhiki lakini wamama jitahidini hata kama mnamajukumu kiasi gani.
#Share Kama Nimenena Kweli
 
Wanawake wa Dar Inawaathiri Sana Hii... Tena unaweza Kukuta Ana Kazi ya Kuuza Tu Nguo kariakoo Basi Kazi za Nyumbani ndo Keshasahau
 
Sio wa dar pekee mkuu tuwe wakweli
Kwenye shughuli nyingi kama Dar ndo hayo yanatokea.. Huwezi kuniambia Eti Mwanamke Wa Tunduma huko au Simiyu sijui wapi Vijijini Wana wafanyakazi wa Ndani.. Asilimia kubwa Ya Watu wa Dar Na Wanawake wa Dar ndo Wanaongoza Kwa Kuagiza Wafanyakazi kutoka Mikoani...

Huu ndo Ukweli.. mpk inafikia Kipindi Mnawafanya Wafanyakazi wa Ndani Vitu Vibaya
 
Mh!siku mume atakapomchukua house girl ndo akili itamkaa vizuri.Halafu ukute huyo ni mama wa nyumbani.Akili za wanawake wengine kama vile zimeshikiliwa sehemu
 
Yote haya yalitokana na sisis wanawake kuja juu kutaka usawa na wanaume... Hii inavunja ndoa nyingi sana. Mwanamke ata uwe na kazi gani, ile heshima na adabu kwa mume wako lazima iwepo ili ndoa yenu iwe vizuri. Yaani ata ikaja nikawa bize kiasi gani, nikiwa na msaidizi wa kazi za ndani siwezi mruhusu aingie chumbani kwetu. Na mume wangu atakula chakuka nnachopika mimi tu. Mwanamke kwa mikono yake ana uwezo wa kuijenga na kuibomoa nyumba
 
Kwenye shughuli nyingi kama Dar ndo hayo yanatokea.. Huwezi kuniambia Eti Mwanamke Wa Tunduma huko au Simiyu sijui wapi Vijijini Wana wafanyakazi wa Ndani.. Asilimia kubwa Ya Watu wa Dar Na Wanawake wa Dar ndo Wanaongoza Kwa Kuagiza Wafanyakazi kutoka Mikoani...

Huu ndo Ukweli.. mpk inafikia Kipindi Mnawafanya Wafanyakazi wa Ndani Vitu Vibaya
Maisha yamebadilika mkuu, hadi vijiji vilivyoendelea kuna ma house girl, inaonyesha hujatembea, wanawake kwa ukubwa wanafanana kitabia, twawafahamu na kuwajua
 
MUME: Darling nina kikao mkoani kesho naomba niandalie vitu please.
MKE: Dada zile nguo za baba pamoja na soksi ulifua.
DADA:Ndio nimepanga kabatini. mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV sebulen, lakini baada ya muda mama anamuita dada akapange suruali kadhaa na mashati kwa ajili ya safari ya kesho, dada anapanga kila kitu anatoka

MKE: Kama tayari hakikisha unarekebisha yale mashuka pale kitandan weka na maji bafuni, dada anafanya na kwenda zake kulala, asubuhi dada anaamka mapema na kuandaa kila kitu ikiwamo na chai, baba anakunywa chai na kutaka kuondoka.

MKE: Dada msindikize baba ili ufunge geti sbb bado ni giza.

DADA: Sawa mama, dada anatoka na begi la baba hadi nje kwavile mkewe yupo ndani , baba anamtaka dada abaki vizuri na watoto, dada anaitika na kusema nawao wanamuombea safari njema. Baada ya muda baba anarudi toka safari

MKE: Huku akitabasamu, dada si umemuona baba amerudi vipi chakula tayari.

DADA: Ndio.

MKE: Haya kapange meza vizuri mimi nandaa juice. Baada ya muda wanakula na baba anagundua juice sio nzuri anaamua kuiacha na kusema leo wamesahau kuweka baadhi ya vitu hivyo hataweza kuinywa.

Baadae baba anakumbuka kuwa aliacha boxer zake kwenye ndoo ya maji chumban na kufunika mfuniko, anamuuliza mama vipi zile nguo zangu kwenye ndoo zilifuliwa maana nilisahau kusema kama zina maji.

MKe: Dada njoo hapa hivi zile nguo za baba chumbani ulifua.

DADA: Ndio mama lakini hasemi kama alianua na kuweka chumbani kwake akidhan atakunja baada ya kazi kupungua
MKE: Darling zilifuliwa.

MUME: Na watoto vipi wameshalala.
MKE: Anajibu wamelala darling.

MUME: vipi dereva wao alifika kuchukua pesa yake.

MKE😀ada eti uncle Hassan amechukua pesa yake.

DADA:Hapana wamembadilishia gari uncle Hassan amesafiri kwa muda.

MKE:Tutampatia darling siku akirudi acha dada aendelee kuitunza.

MUME: Basi vizuri, ehee vipi na tution walienda leo.

MKE: Ndio walienda anamgeukia dada, si eti ee walienda si eti.

DADA:Hapana Kelvin anaumwa leo siku ya pili nilinunua dawa dukan nimempa lkn hajambo

MKE:Anashangaa hee mtoto mgumu huyu kumbe jana alikua mgonjwa halafu wala!!! alikua anacheza tu jamani watoto,asante dada umefanya vizuri.

MUME: Haya mimi niwaache nataka nikapumzike lkn darl nitaomba zile boxer nichome kabla ya kulala sababu zimeanza kuchoka

MKE: Anaingia chumbani anafungua kabati na kuzikosa lkn kabla hajajieleza anamuona dada analeta mzigo wa boxer zikiwemo chupi za mama na mataulo.

MUME: Basi dada zirudishe tutachambua kesho nenda kafanye kazi zako, mume anainuka na kuelekea kulala, lakini anagundua mke wake alimwaga nguo kitandani wakati anatafuta boxer hivyo anaamua kurudi sebuleni ili aombe. kuandaliwa kitanda, kwavile chumba cha dada kipo jiran na chao anagundua dada ameacha mlango wazi.

Anaamua kuufunga ili mbu wasiingie lakini anaona baadhi ya mashati na suruali zake zikiwa zimenyooshwa na kuwekwa pemben huku kitanda kikiwa kimetandikwa kwa ustadi anaamua kufunga mlango na kutoka, anafika sebuleni anakuta mama anatazama tamthilia anamwambia akatandike kitanda.

MKE: Dada njoo, (kwa sauti ya kunong'ona) naomba ukatandike kitanda haraka.

DADA:Tayari nilipeleka viatu vya baba nikaamua kutoa na zile nguo.

MKE: anaamka na kwenda kuhakikisha anarudi na kumwambia mumewe tayari aende akalale

MUME: anaenda kulala lkn huku akijuiliza sana ni nini amfanyie huyu dada kwa ukarimu anaowafanyia hapo nyumban, kwanza anajua ni vitu gani baba anabeba akiwa safarini, ndio pekee anaemtakia safari njema na kumuombea, ndio anaefua boxer zake na kutunza vizuri, ndio anaepika chakula kitamu, ndio anaetandika kitanda chake, ndio anaejua juice gani baba anapenda, ndio anaejua kama watoto wamerudi vipi kutoka shule, vilevile ndio anaejua kama watoto wake wanaumwa ama vipi.

Sasa mnafikiri baba atamzawadia nini huyu binti ambae amebakiza kujua style anazopenda baba tu, si atamfundisha ili kesho asimsumbue tena mke wake ambae kila kitu lzm amuulize dada.

Akina baba hawaridhiki lakini wamama jitahidini hata kama mnamajukumu kiasi gani.
#Share Kama Nimenena Kweli
Ushamba wa hali ya juu. ...wanawake wa siku hizi wanajua thamani yao. Nani mwenye muda wa kutafuta misoksi ya mtu mzima. ...DUNIA IMEBADILIKA WATU TUNASHIRIKIANA KWENYE MAENDELEO. ....Wanawake puuzia huu upumbavu wa hali ya juu! Good morning my friend!
 
Yote haya yalitokana na sisis wanawake kuja juu kutaka usawa na wanaume... Hii inavunja ndoa nyingi sana. Mwanamke ata uwe na kazi gani, ile heshima na adabu kwa mume wako lazima iwepo ili ndoa yenu iwe vizuri. Yaani ata ikaja nikawa bize kiasi gani, nikiwa na msaidizi wa kazi za ndani siwezi mruhusu aingie chumbani kwetu. Na mume wangu atakula chakuka nnachopika mimi tu. Mwanamke kwa mikono yake ana uwezo wa kuijenga na kuibomoa nyumba
Upuuzi!
 
Imebaki kufunua marinda...
Wanawake mnaridhika haraka na kujisahau
Ninyi ndo mnasababisha michepuko ya waume zenu 80%
Michepuko ni asili ya mtu alivyo. .....hiyo ni TABIA
 
Yote haya yalitokana na sisis wanawake kuja juu kutaka usawa na wanaume... Hii inavunja ndoa nyingi sana. Mwanamke ata uwe na kazi gani, ile heshima na adabu kwa mume wako lazima iwepo ili ndoa yenu iwe vizuri. Yaani ata ikaja nikawa bize kiasi gani, nikiwa na msaidizi wa kazi za ndani siwezi mruhusu aingie chumbani kwetu. Na mume wangu atakula chakuka nnachopika mimi tu. Mwanamke kwa mikono yake ana uwezo wa kuijenga na kuibomoa nyumba
WELL SAID MKUU.
 
Ushamba wa hali ya juu. ...wanawake wa siku hizi wanajua thamani yao. Nani mwenye muda wa kutafuta misoksi ya mtu mzima. ...DUNIA IMEBADILIKA WATU TUNASHIRIKIANA KWENYE MAENDELEO. ....Wanawake puuzia huu upumbavu wa hali ya juu! Good morning my friend!
Hahahaha nina wasiwasi na wewe kma ni mwanaume kweli au Tayari...

Hujui hata majukumu ya mke
 
mmh KIJANA HII STORI YAKO HUJAMALIZIA BADO HATUJAJUA MME ALIFANYAJE BAADA YA HAPO AU TUMUULIZE DADA?
 
We umevurugwa na maisha... Tupisheee

hahahaha.........akupishe siyo??

Mama ni mama ndani ya nyumba. By the way there are women out there who are successful in their careers but at the same time they are fine mothers! So lets stop excuses. As a mother do your best to fulfill your responsibilities. Take care of your home. take care of your motherly obligations.Same applies to Fathers.
 
Back
Top Bottom