Mke wa asili ya Pemba anahitajika

MPALESTINA MWEUSI

Senior Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
140
Reaction score
117
Nahitaji mwanamke wa kipemba kwa ajili ya kuoa, mie tayari nipo kwenye ndoa hivyo nahitaji ambaye yupo tayari kuingia kwenye ndoa ya wake wengi, sifa zake

Awe mweupe sio mweusi
Awe muislam metekelezaji
Awe na umri usiozidi miaka 30
Awe na elimu yoyote, lakini awe tayari kutofanya kazi maofisini kwenye michanganyiko na wanaume
Akiwa ni Mwalimu au Daktari/Nesi haina shida japokuwa ofisi anayofanyia kazi lazima iwe na mazingira ya nidhamu na heshima

Yeyote ambaye yupo tayari tuwasiliane kwa email hamenyam@yahoo.com au ani PM. Kama una ndugu au rafiki au jirani ana sifa hizo pia nitaarifu
 

Nenda pemba mkuu, huwa hawatumii JF wale utapoteza mda hapa
 
Duh ushauri wako muhimu, ngoja nitafute rafiki huko pemba, lakini siwapo pia wapemba waishio huku bara

Matapeli hao, nenda kang’oe chuma chenyewe silidi kabisa huko pemba.. ila uwe makini maana nyuma waweza kuta break zimefeli
 
Matapeli hao, nenda kang’oe chuma chenyewe silidi kabisa huko pemba.. ila uwe makini maana nyuma waweza kuta break zimefeli
Sasa mkuu nyuma atajuaje kama zishafeli au bado??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…