Nahitaji mwanamke wa kipemba kwa ajili ya kuoa, mie tayari nipo kwenye ndoa hivyo nahitaji ambaye yupo tayari kuingia kwenye ndoa ya wake wengi, sifa zake
Awe mweupe sio mweusi
Awe muislam metekelezaji
Awe na umri usiozidi miaka 30
Awe na elimu yoyote, lakini awe tayari kutofanya kazi maofisini kwenye michanganyiko na wanaume
Akiwa ni Mwalimu au Daktari/Nesi haina shida japokuwa ofisi anayofanyia kazi lazima iwe na mazingira ya nidhamu na heshima
Yeyote ambaye yupo tayari tuwasiliane kwa email
hamenyam@yahoo.com au ani PM. Kama una ndugu au rafiki au jirani ana sifa hizo pia nitaarifu