Mke wa asili ya Pemba anahitajika

Baada ya kusikia au kuona takwimu zikisema pemba ndo kuna bikra nyingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu mi ni muislam pure na huko Pemba ndo nyumbani sema nikusaidie unataka Mpemba wa wilaya ipi.
* Mkoani.
* Chake chake.
* Wete.
* Micheweni?
Aseee, ningekuwa mimi hapo ningeenda Wete tu au Chakechake. Micheweni mhhh!
 
Mkuu nyie wabara si mwapenda wanawake wenye mikia? Sasa huku sura wanazo ila shepu sasa utafikiri Maji ya dripu
 
Kukavu sana kule hivyo hata watu wake wakawa wakavu kama...kumbuka mpalestiba anataka "mbegu" huyu.
Kwahiyo mkuu wilaya ya Micheweni hakuna asili ya waarabu....Konde, Chimba, Mihogoni, Mapofu, Shumba vyamboni vipi ulishatembelea?
 
Duh ushauri wako muhimu, ngoja nitafute rafiki huko pemba, lakini siwapo pia wapemba waishio huku bara
Wewe ni mpemba?

Ikiwa umpemba nenda kwenu ukatafute humu utapata shida lakni kama sio mpemba na unataka mpemba aliyeko pemba sifikiriii kama utampata.
 
Mkuu nyie wabara si mwapenda wanawake wenye mikia? Sasa huku sura wanazo ila shepu sasa utafikiri Maji ya dripu
Mikia wapo walionao lkn tu siwavaaji suruali ikaonekana kutokana na mila zao lkn kinyume chake ingeonekana saana tu

Test kwa fingure, ukiona imekatiza bila kelele na ubishi, peleka Dushe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…