Mke wa Askofu Gwajima umevumilia mengi, “it's time to go”

so law

Senior Member
Joined
Dec 24, 2018
Posts
101
Reaction score
269
Kwanza kabisa namshukuru Mungu Leo nimezidi kuamini kwamba kutakuwepo na manabii wa uongo.

Pili Mungu anatufungua macho wanadamu tuone Na tutambue kweli ipo wapi.

Naerejea kwako Mrs. Grace Gwajima. Kwa wasiomfahamu Grace Gwajima ndiye mke halali wa Josephat Gwajima. Ni mama wa msomi aliezaa na Gwajima watoto 3.

Kwa mliowahi kusali au kukutana na Gwajima mtaungana na mimi kwamba Gwajima ni mzee wa totoz na mama Grace amevumilia kwa muda sana.

Nilishawahi kumkuta live Gwajima akiwa na mmoja wa waimba kwaya wake enzi hizo (Linah Sanga) pale Ubungo Maji wakiwa katika pozi tata sana tena saa 6 usiku baada ya mkesha; sikujua nini kiliendelea baada ya hapo.

Kuna wakati tena muda wa usiku Bi Grace kushuka kwa kushtukiza kwenye ofisi za Gwajima na kumkuta na moja wa waimba kwaya wake. For the first time nilimuona Gwajima akiwa anatetemeka na kumuomba msamaha mke wake.

Kwanini nasema Bi Grace it's time for you to go?
Umevumilia mengi na scandal nyingi kwa mume wako achilia mbali ya kutoka na Frola Mbasha. (which is true 99%).

Kwa hili Gwajima kuchepuka tena kajirekodi Halafu pale ni nyumbani kwako GRACE amevuka mipaka.

Nenda zako kaendelee kufundisha London ulikokuwa.

You are better than that.
 
Mi i hate wanao-come up na conclusion ya wenzao kuachana wakisahau madhara ya conclusion hiyo, remember kuna watoto, wategemezi na 3rd parties wengine watakaopata madhara ya hilo unaloona kwako ni bora.

If your doing for good faith ni tuombee wapate suruhu isiyo ya kuachana!!
 
Makubwa haya jamani,usiombe yakukute lol.Ushauri mzuri,ila sidhan kama utamfaa si unajua mambo ya viapo hadi kifo kiwatenganishe[emoji5]
 
Gwajima hajawaangusha wanaume wa mikoani, yaani sekunde 45 tu kapiga bao. Haina kuremba hiyo.
 
Hii DAB kali sana hii ni Party 2,ngoja tusubili nae mzee wa utafiti aje na fact,

Yetu macho na maskio
 
Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe. Keyboard mkubwa wewe!
Kwa mungu yupi labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
So kwa mauno Yale kwa mchepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…