Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Nimeogopa sana aisee watu hawana ajiraHeee....wenzetu mnajua mpaka chumbani kwa Gwajima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeogopa sana aisee watu hawana ajiraHeee....wenzetu mnajua mpaka chumbani kwa Gwajima?
Kwa mungu yupi labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
So kwa mauno Yale kwa mchepuko.
Aiseee kweli wanaoolewa ni tofauti na wanaotumiwaView attachment 1091059
Ni mtu mzima!!
Oh sikuwa namfahamu baada kuona video ile nilitamani nimuone mkeweView attachment 1091059
Ni mtu mzima!!
Hata kama....... kama ameweza kuvumilia kipindi chote hicho, avumilie na sasa. Halafu yule kumwacha Gwaji boy ni kuzipa talaka hela, kitu ambacho haweziKwa mungu yupi labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
So kwa mauno Yale kwa mchepuko.
Hakuna mwanaume ambaye ha cheat. Sema tu hatukamatwi.Kwanza kabisa namshukuru Mungu Leo nimezidi kuamini kwamba kutakuwepo na manabii wa uongo.
Pili Mungu anatufungua macho wanadamu tuone Na tutambue kweli ipo wapi.
Naerejea kwako Mrs. Grace Gwajima. Kwa wasiomfahamu Grace Gwajima ndiye mke halali wa Josephat Gwajima. Ni mama wa msomi aliezaa na Gwajima watoto 3.
Kwa mliowahi kusali au kukutana na Gwajima mtaungana na mimi kwamba Gwajima ni mzee wa totoz na mama Grace amevumilia kwa muda sana.
Nilishawahi kumkuta live Gwajima akiwa na mmoja wa waimba kwaya wake enzi hizo (Linah Sanga) pale Ubungo Maji wakiwa katika pozi tata sana tena saa 6 usiku baada ya mkesha; sikujua nini kiliendelea baada ya hapo.
Kuna wakati tena muda wa usiku Bi Grace kushuka kwa kushtukiza kwenye ofisi za Gwajima na kumkuta na moja wa waimba kwaya wake. For the first time nilimuona Gwajima akiwa anatetemeka na kumuomba msamaha mke wake.
Kwanini nasema Bi Grace it's time for you to go?
Umevumilia mengi na scandal nyingi kwa mume wako achilia mbali ya kutoka na Frola Mbasha. (which is true 99%).
Kwa hili Gwajima kuchepuka tena kajirekodi Halafu pale ni nyumbani kwako GRACE amevuka mipaka.
Nenda zako kaendelee kufundisha London ulikokuwa.
You are better than that.
Naona unaniongelea mimi ila umeshindwa tu kunitaja[emoji23]Hakuna mwanaume ambaye ha cheat. Sema tu hatukamatwi.
Watumishi wanakutana na vikwazo vingi sana. Sio watumishi wa Tanzania tu ni Africa nzima
HAKUNA MWANAUME MWENYE MWANAMKE MMOJA.wanaume tusithubutu kumnyoshea kidole askofu
Mi i hate wanao-come up na conclusion ya wenzao kuachana wakisahau madhara ya conclusion hiyo, remember kuna watoto, wategemezi na 3rd parties wengine watakaopata madhara ya hilo unaloona kwako ni bora.
If your doing for good faith ni tuombee wapate suruhu isiyo ya kuachana!!
Licha ya yote hayo ndo ni ridhaa baina ya watu wawili tu...Kwanza kabisa namshukuru Mungu Leo nimezidi kuamini kwamba kutakuwepo na manabii wa uongo.