Mke wa Askofu Gwajima umevumilia mengi, “it's time to go”

Hakuna mwanaume ambaye ha cheat. Sema tu hatukamatwi.
Watumishi wanakutana na vikwazo vingi sana. Sio watumishi wa Tanzania tu ni Africa nzima
 
Nilichogundua kwenye ile video, sijamsikia yule dada akimwambia mchungaji asipigie bao ndani, lakini ingekuwa akina sisi ndio angetusukuma mpaka tuanguke kutoka kitandani
 
The only "suluhu " ni grace ku prove kwamb she's strong.. Anawez kuachana Na gwajima and still akalea watoto wake vzr...
Wanawake wa kiafrika hapo ndo wanapo fail
Wanakosewa heshima hadharani, wanaletewa magonjwa ndani ya nyumba only tu kwakuw kaolewa bus anatikiwa avumilie kwajili ya watoto na Mali..
Wanaacha kuji value Kwanz "put your self as a priority "
 
Kwa nini hukuleta huku hadi unakaa nacho mpaka hili limetikea ndo unaongea...
Huo ni umbea tena upashkuna
 
Licha ya yote hayo ndo ni ridhaa baina ya watu wawili tu...

Kama ambavyo hukumshauri huyo mama Grace ampende na afunge ndoa na Gwajima, vivyo hivyo sioni tija ya kumshauri asimpende na amuache.
 
Ndugu yangu haya Mambo ya ndoa yaache Kama yalivyo kabisa. Usishauri chochote nakuomba. Chukua hizo video angalia kwa kujifurahisha ikiisha angalia Tena Kisha kaa kimya. Au ikikupandisha mzuka pigia puchu jilalie zako kimyaaaaaaaa

Ukute huyo Grace ndio mmoja wapo wa wanaolalamika humu JF na kuamini hizo video zimetengenezwa na Makonda. Ukute SAA hizi anaamini kabisa mumewe kaonewa Sasa wewe shupalia eti aondoke sijui time to go

We fanya yako Hilo nalo litapita tu. Tena uzuri wa siku hizi matukio hayachelewi kabisa ku expire. Sasa hivi tutasahau zetu wabongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…