TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

Gwajima

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
253
Reaction score
406
Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu.

---
Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu ya maradhi ya shinikizo la damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

20210917_090728.jpg
 
Ufunuo wa Yohana 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
 
Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu.
Uimara wa huyu Mama niliuona hasa Kipindi Mumewe anapitia wakati mgumu sana Kisiasa hapa nchini.

Pole Kwake Kachero Mbobezi Mzee Mrema kwa Kufiwa na Mpendwa Mkewe, Wanafamilia, Ndugu Jamaa na Marafiki.

RIP Mama kwani umeumaliza Mwendo.
 
Back
Top Bottom