TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

Apumzike kwa Amani Rose Mrema
 
kweli huyu mama alikuwa nyuma yake kwenye kila hali .....kutoka maisha ya kifahari ya kuwa na gari na msaidizi kama mke wa naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani hadi kuwa mke wa mwanasiasa anayepigwa mabomu kila siku haikuwa kazi rahisi ....
lakini kitu ninachomsifu mzee mrema ni kuweza kuwakinga watoto wake na umaarufu wake ......kawaacha wakaishi maisha yao kwa ukimya ...hilo jambo la muhimu sana angewaweka wazi sana wakati ule anatamba wangekuwa target ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…