ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Guess hujawahi ona au kukutana na wanawake wazuri ndio shida ya wanaume wa mikoani muda wote mnashindana na Nyani shamban utajua wanawake wazuri wewe..
Kwenye list ya warembo kwangu mqy be anaweza kuwa kwenye top 15...
Fanya research iliyoshiba before hujatoa conclusion zako..
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Dunia hii hakuna mrembo wa kumshinda Mama Gaude wangu. Nimechoka kurudia hii comment kila siku. Mama Gaude wangu chombo bhana!
Weka na kapicha ka Mama Gaude ili watu wakuamini mkuu[emoji85]Dunia hii hakuna mrembo wa kumshinda Mama Gaude wangu. Nimechoka kurudia hii comment kila siku. Mama Gaude wangu chombo bhana!
Dunia hii hakuna mrembo wa kumshinda Mama Gaude wangu. Nimechoka kurudia hii comment kila siku. Mama Gaude wangu chombo bhana!
HhhhaaaHeheheee kwa hyo Zari sio mzuri kushinda wanawake wa tz tena mmegeukia kwa Remy? Kazi mnayo aisee