Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Mke wa AY ndio msichana mrembo zaidi kuliko wasichana wote Tanzania. Hakuna cha Jokate, Wema, Lulu, Tunda, Mimi Mars, Klynn, Faraja Kota wala Nancy Sumari.

Nahisi yeye ndio Cleopatra aliesemwa kwenye historia, yaani mwanamke mzuri kuliko wote.

soudybrown_BfIWm4gAcL3.jpg

mwanafa_BfDiX6NHGKD.jpg
 
Guess hujawahi ona au kukutana na wanawake wazuri ndio shida ya wanaume wa mikoani muda wote mnashindana na Nyani shamban utajua wanawake wazuri wewe..

Kwenye list ya warembo kwangu mqy be anaweza kuwa kwenye top 15...

Fanya research iliyoshiba before hujatoa conclusion zako..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dunia hii hakuna mrembo wa kumshinda Mama Gaude wangu. Nimechoka kurudia hii comment kila siku. Mama Gaude wangu chombo bhana!

Mama gaude nooh bora hata esta bulaya mzuri kuliko huyo mama gaude
 
Back
Top Bottom