Yusufu R H Sabura
JF-Expert Member
- Jun 26, 2020
- 796
- 918
bakabaka ni hatari, me naroga sijibizani naoSiku ukineti kwenye mfumo utakojoa dagaa.
mimi sitolewi marinda man !. silagi wake za watu.Sasa Wewe wakikutoa marinda utaona umeonewa?
hii ni elimu kijanaWala Haikuwa Na Ulazima Wa Kuileta Huku,,Kaza Mtoto Wa Kiume,,Ukijilegezalegeza Utatoa Hadi Stori Za Familia Yako.....Wanagongwa Wanawake Za Wafalme,,Matajiri,,Viongozi Wakubwa Huko Ije Kuwa Hawa Kafula Nani??###MapenziHayanaCheo###MapenziHayanagaMuongozo###MapenziNiDudeFulaniKubwa###NiKuchaguaTuEitherUfeWeweOrYafeMapenzi###AkiliKumkichwaKatikaMapenzi###AmriKuuNawapaMpendane###
Hii hulka inatafuna sana generation yetu.Usaliti ni hulka. Haijalishi umeoa au kuolewa na nani
Balthazar Egonga amegonga mpaka mtoto wa rais, mawaziri, watoto wa mabrigedia na wakuu wengine wa majeshi sembuse huyo.Hodi jukwaa la malavidavi.
Nipo zangu kijiwe na mwanangu mmoja hivi ghafla anapigiwa simu na jamaa yake,
Mazungumzo yao ni kwamba, mke wa bakabaka amekubali ofa ya kwenda out kwenye makulakula na manyamanyama, akisisitiza kuwa bakabaka amesafiri kwenda Dodoma na anarudigi mwisho wa wiki.
Sasa najiuliza , ikiwa bakabaka wanachapiwa, je sisi makuli ? hahahahahaahhahahahaha
Balthazar Egonga amegonga mpaka mtoto wa rais, mawaziri, watoto wa mabrigedia na wakuu wengine wa majeshi sembuse huyoHodi jukwaa la malavidavi.
Nipo zangu kijiwe na mwanangu mmoja hivi ghafla anapigiwa simu na jamaa yake,
Mazungumzo yao ni kwamba, mke wa bakabaka amekubali ofa ya kwenda out kwenye makulakula na manyamanyama, akisisitiza kuwa bakabaka amesafiri kwenda Dodoma na anarudigi mwisho wa wiki.
Sasa najiuliza , ikiwa bakabaka wanachapiwa, je sisi makuli ? hahahahahaahhahahahaha
Muache ajichanganyeAwe makini bakabaka huwa wanatabia za kubakabaka, aandae tu wese!