TANZIA Mke wa Balozi Mstaafu Christopher Celestine LIUNDI, Bibi Rahma Simbaliundi, amefariji jana jioni jijini Dar es Salaam

TANZIA Mke wa Balozi Mstaafu Christopher Celestine LIUNDI, Bibi Rahma Simbaliundi, amefariji jana jioni jijini Dar es Salaam

NB: Vaa barakoa, kaa mbali na mkusanyiko na osha mikono kwa sabuni au tumia kitakasa mikono.
 
... kilichowaunganisha sio imani bali "ndoa". Mmoja akishaondoka ndoa nayo imekwenda zake.
Sawa ila hujajibu swali. Maana huwa naona Wawili wasio imani moja wanapoamua kuoana basi mmoja huamua kufuata imani ya Mwenzake...au la kila mmoja hubaki na imani yake....na ninayo mifano hata kwa Watu wangu wa karibu.
 
Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Msikiti wa Al Maamur ulioko Upanga, jijini Dar es Salaam, ambako atasaliwa kabla ya mazishi.

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Hapa ndio sijaelewa.
Mwili umehifadhiwa msikitini?
RIP mama Liundi.
 
NB: Vaa barakoa, kaa mbali na mkusanyiko na osha mikono kwa sabuni au tumia kitakasa mikono.
Hapo kwenye makusanyiko Sisi wanachuo na wanafunzi wa shule za msingi na secondary tunafanyaje. Labda ndugu waumini wa makanisa na misikiti watupe ushauri
 
Hapo kwenye makusanyiko Sisi wanachuo na wanafunzi wa shule za msingi na secondary tunafanyaje
Labda ndugu waumini wa makanisa na misikiti watupe ushauri

Solution, mashule yafungwe musome kwa njia ya mitandao kama nchi zilizoendelea.
 
Kuna makaburi mkimzika mpendwa wenu, mnaweza hisi bado mpo naye!!
 
Hapo kwenye makusanyiko Sisi wanachuo na wanafunzi wa shule za msingi na secondary tunafanyaje. Labda ndugu waumini wa makanisa na misikiti watupe ushauri
Kuwa karibu sababu ni shule na hakuna njia mbadala itakubidi uuchukue tahadhari binafsi kama kuepuka kugusana au kuongea ovyo ni jambo la msingi.
 
Back
Top Bottom