Mke wa Barnaba akiwa na mume mwingine

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,624
Reaction score
21,362
Picha iliyozua maneno kuhusu mke wa Barnaba Boy ambayo yeye anasema ni ya kawaida tuichambue kidogo
 
Japo nisingependa mke wangu apige picha kama hii ila huwezi sema kuwa kwa hii picha basi conclusion kuwa huyu amemla mke wa barnaba maana ni kawaida tu mimi nilipokuwa naskia nilidhan wanakiss au wamekaa kimahaba
 
Mwanaume mwingine au mume mwingine. Which is right??
 
Waoohh... Handsome la nguvu. Apo barnaba wala asikasirike maana si kwa mwanaume uyo. Lips na macho tu duuuuu kuna wanaume wazur aisee
 
Kuna Wanaume wanabahati we acha tu.yani mie ningekuwa huyo barnaba fasta ningekimbilia kanisani kwamba jamani eeh ushahidi huu apa kuanzia leo nipo single.

Videmu vya sikuizi vimekuwa pasua kivhwa sana ni bora ukae pekeyako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…