Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siliza huu wimbo wa msaga Sumu,Waoohh... Handsome la nguvu. Apo barnaba wala asikasirike maana si kwa mwanaume uyo. Lips na macho tu duuuuu kuna wanaume wazur aisee
Huyo Barnabas mwenyewe akiwa hapo na ile minywele na hereni zile anakuwa kama mke wa mtuKwenye hii picha mke wa Barnaba ni yupi?