Mke wa Bilionea Msuya, furaha yake na sauti yake ya kusifu Yesu akitoka Mahakamani si yenye Roho Mtakatifu

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hakika nawaambieni Mungu wa kweli hukaa ndani yetu, alisikika mke wa Hayati Billionaire Msuya akiimba baada ya hukumu kumpenda zaidi yeye pale kisutu, yeyote anaejua maana ya kilio na kusifu kuliko na malaika huyo mwanamke alikosa muunganiko wa sauti, kiini cha sauti na Nuru ya mwili hasa uso wake ulikataliwa na malaika wa kweli wa Mungu aliehai ambae ni Mungu Mkuu na Mungu wa haki na kweli.

Yesu na Mungu wakitamkwa katika najisi sauti na lugha ya mwili haviendani, furaha itokayo kwa Bwana Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu vilikataa.

Yeyote aliye mfuasi wa kweli wa Mungu apitie Millard Ayo TV ajionee mtanziko wa huku hio kwa hakika ni simanzi. Nyuma ya Pazia Hayati Billionaire Msuya litaweka nyufa kama ishara ya kilio cha mfu.

Hujateseka mpaka ukose haki ndio utajua maana ya kuteseka.

Wadiz
 
Hakika nawaambieni Mungu wa kweli hukaa ndani yetu, alisikika mke wa Hayati Billionaire Msuya akiimba baada ya hukumu kumpenda zaidi yeye pale kisutu, yeyote anaejua maana ya kilio na kusifu kuliko na malaika huyo mwanamke alikosa muunganiko wa sauti, kiini cha sauti na Nuru ya mwili hasa uso wake ulikataliwa na malaika wa kweli wa Mungu aliehai ambae ni Mungu Mkuu na Mungu wa haki na kweli.

Yesu na Mungu wakitamkwa katika najisi sauti na lugha ya mwili haviendani, furaha itokayo kwa Bwana Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu vilikataa.

Yeyote aliyemfuasi wa kweli wa Mungu apitie Millard Ayo TV ajionee mtanziko wa huku hio kwa hakika ni simanzi. Nyuma ya Pazia Hayati Billionaire Msuya litaweka nyufa kama ishara ya kilio cha mfu.

Mkuu umeumia sana huyu mama kuachiwa. Duniani kila mtu ana bahasha yake.

Mwisho wa siku chanzo cha haya magomvi yote ni umasikini. Kuna wengi kila wakifikiria mali za Msuya..zitamilikiwa na huyu mama wanaumia mno.

Let it go. Imeishaaaa hiyo.
 
Hakika nawaambieni Mungu wa kweli hukaa ndani yetu, alisikika mke wa Hayati Billionaire Msuya akiimba baada ya hukumu kumpenda zaidi yeye pale kisutu, yeyote anaejua maana ya kilio na kusifu kuliko na malaika huyo mwanamke alikosa muunganiko wa sauti, kiini cha sauti na Nuru ya mwili hasa uso wake ulikataliwa na malaika wa kweli wa Mungu aliehai ambae ni Mungu Mkuu na Mungu wa haki na kweli.

Yesu na Mungu wakitamkwa katika najisi sauti na lugha ya mwili haviendani, furaha itokayo kwa Bwana Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu vilikataa.

Yeyote aliyemfuasi wa kweli wa Mungu apitie Millard Ayo TV ajionee mtanziko wa huku hio kwa hakika ni simanzi. Nyuma ya Pazia Hayati Billionaire Msuya litaweka nyufa kama ishara ya kilio cha mfu.

Hujateseka mpaka ukose haki ndio utajua maana ya kuteseka.

Wadiz
Nafsi inamsuta sana na kauli ya Makonda nimeikubali. Hawa Majaji wala rushwa.
 
ni kweli labda amepewa nafasi na Yesu wake kutubu kipindi chote akiwa kizuizini.wacha hukumu ya haki aitoe jaji ajuaye mpaka ya sirini.

lakini malipizi huwa ni kurudisha ulivyodhurumu na kukiri hadharani kwamba ulifanya.
 
Back
Top Bottom