Mke wa Bill Gate alikodi Mpelelezi wa siri kuchunguza mienendo ya mume wake

Niliona interview yake CNN huyo bidada si mzuri kiasi hicho ila ana ngozi nzuri sana na pale Microsoft naye ni kingunge.
Sasa hii talaka ni kuwa tu anataka kukomba pesa kumbe alijua siku nyingi kuwa ndoa ina matatizo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unaachwa with full evidence
 
Huyu maza nae mmmh....
Hivi BG kishapata mtu au bado single boy.
 
Hivi pesa huwa inazeesha au jamaa tu sura yake ngumu...?
 
Hata mie ningekuwa billgate na mihela yote hiyo na umri huo, totoz ni lazima niruke nazo tu! Tena kwa sasa naona Bill ndio anafurahia life na totoz kwa uhuru zaidi, hakuna cha wa kumfumania wala kumfuatilia kwa kukodi!
Melinda amepata alichostahili kupata, hizo mali za kugawana siyo ishu sana kwa Billgate ndio maana kiroho safi tu alikubali kutalikiana!
 
She worth 1.something bilions

I think prenup adhered .

Bill got centbilions let him enjoy his life why not!!?
 
Si mlisema tukitaka kupendwa tutafute PESA tu, sasa mtaambia nini watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…