Mke wa bob junior:Bob junior ana uhusiano usioeleweka na mr festo

Mke wa bob junior:Bob junior ana uhusiano usioeleweka na mr festo

Maneno yake hayana mshiko kabisa,kashazalishwa huyo awe mpole tu,kama alijua yupo hvyo mbona alimpa nanii yake?? Kaachwa ndo anaanza kutokwa mapovu,duh
 
Rumors,sio kila linalosemwa lazima liwepo,may be ni hasira tu za kuachwa
Yea inawezekana anatafuta namna ya kumuumiza ex mume, but hajui kuwa anajidharilisha na yeye coz anaonekana aliolewa na mume si ridhiki.
 
Mke wa mwanamuziki wa bongo fleva Bob junior aka mkata mauno ametoa duku duku lake kuhusu my ex husband wake huyo kuwa ana tabia chafu na zisizofaa kwenye jamii na ndio maana kaikimbia ndoa yake ili aendelee kuuficha uovu wake." Kuna video ilikutwa kwenye simu ya bob junior akifanya mapenzi na msanii wa filamu,hii video tutaiweka kwenye mitandao ya kijamii ili watu washuhudie uchafu wake,kwa kifupi huyo jamaa sio mwanaume halisi,ana tabia nyingi za kike,kuna mwanaume mmoja amemsave kwa jina la mr festo kwenye simu yake,kuna siri kubwa ya uhusiano wa bob junior na huyo jamaa,tutakuja kuianika ivi karibuni ili jamii ishuhudie uchafu wake" kilisema chanzo hicho cha habari kutoka familia ya mke wa bob junior

Kama kakutema ucmchafue mwenzako bana.
 
Mmh mbona kama hii mada imekaa kiumbea na kuchafuana? Wanawake wakishapigwa chini ndivyo walivyo, pole Bob Junior ila kama ni kweli mmmh kazi ipo
 
Lakini hizi tetesi ya kuwa huyu jamaa ni mchele mchele zilikuwepo tangu siku nyingi....
 
stock-photo-18083480-it-s-a-gay-thing.jpg
 
Sioni sababu ya kuamini hizi tetesi. Japo zimekuwepo kwa muda mrefu. Ni wakati sasa bob junia aje akanushe
 
Kama ukijua kisa cha bifu lake na diamond, basi utaelewa kila kitu
Nilikuwepo...
 
Jitu linanengua mauno kiasi kile,litaacha kuliwa kweli?
 
Unaolewa na mwanaume mnagombea vitana,hereni,cream,spray,mikorogo- mkienda disco mnatoka dro au pengine kukuzidi kukata mauno !!!!!! unategemea nini?

Ukipenda boga..........
 
Unaolewa na mwanaume mnagombea vitana,hereni,cream,spray,mikorogo- mkienda disco mnatoka dro au pengine kukuzidi kukata mauno !!!!!! unategemea nini?

Ukipenda boga..........

Ukipenda boga....... Na wewe lazima uliwe kiboga
 
Back
Top Bottom