Kwani haiwezekani kuwa huo ni mpango kazi wa wahalifu ili kuwapoteza maboya wapelelezi wapoteze muda kumchumguza polisi mwenzao? Labda kama wameikuta hiyo pikipiki chumbani kwa huyo polisi.askari akamatwe ahojiwe anajua marehemu alipo
Nafikiri, lugha nzuri ni “awasaidie polisi wenzie kwa njia ya kiungwana” kukamata tena polisi itazua taharuki uckute wahalifu wamemchezea picha. Picha kama hizo wahalifu wanazijua sana kama Police wanavojua kuwawekea mabange na vikete watu wanaotaka kuwakomoa wakienda kuwa search. Kwahiyo ni kufanya upelelezi wa kina tu.Kwani haiwezekani kuwa huo ni mpango kazi wa wahalifu ili kuwapoteza maboya wapelelezi wapoteze muda kumchumguza polisi mwenzao? Labda kama wameikuta hiyo pikipiki chumbani kwa huyo polisi.
Na polisi akija kusearch kwako inatakiwa wewe uanze kumsearch kwanza.Nafikiri, lugha nzuri ni “awasaidie polisi wenzie kwa njia ya kiungwana” kukamata tena polisi itazua taharuki uckute wahalifu wamemchezea picha. Picha kama hizo wahalifu wanazijua sana kama Police wanavojua kuwawekea mabange na vikete watu wanaotaka kuwakomoa wakienda kuwa search. Kwahiyo ni kufanya upelelezi wa kina tu.
Umasikini wa akili,tamaa ya mali na kukosa roho ya utu.Kila askari polisi anataka amtambie mwenzake kwa kumiliki fedha na mali nyingi.Unategemea nini hapo!?Polisi wa hii nchi sijui wana tatzo gani
KILA MARA NIKISIKIA HIVYO.NATAMANI KUTAPIKA NA KUONA UMBULULA WA watanzania....wangeorganise bodaboda wafike eneo la tukio pikipiki ilipo badala ya kuacha kijana au angekodishwa mpigapicha arekodi tukio lote...kabla ya kuenda polisi...yaani..ni matapishi matupu hii inchi makahama nazo za kutumiwa sms...hii inchi inatakiwa kupinduliwa itawaliwe upya na wakoloni...wanaofaidika na uhuru ndio wanaominya uhuru wa wengine huku chini na kukatili uhai wao....Wananchi wa Tanzania hivi brain zetu zina mutation gani. Ati mama samia aliangalie suala hili . We have a problem somehow ila hatujui tuu.
Kitambo sanaWrite your reply...huyo polisi ingekua mbeya na kakutwa na pikipiki ndani mda huu angekua kaburini na nyumba yake kuchomwa moto
Hivi ulichokiandika umekipitia vizuri?juzi napiga story na askari mmoja ananiambia yeye alimpa baba yake kuhusu mambo matatu ambayo ni kujiepusha na kuua, kwenda jera na kutenda haki.....sidhani kama askari wote haya wanayajua
Kwa hiyo kwa kifupi hao polisi wanajihusisha na unyang'anyi na ujambazi?Tayari washampoteza huyo, hapo pikipiki walikuwa wanabadili usajili irudi kijiweni.
Bila mkubwa kuingilia kati ushahidi utapotezwa na kesi kuzungushwa + vitisho vya kutosha.
Hapana,kitendo cha kuja na maaskari wenzake kuja kumpiga kijana aliyesimama nje ya ukuta ni dalili tosha kuwa wanahusika.Kwani haiwezekani kuwa huo ni mpango kazi wa wahalifu ili kuwapoteza maboya wapelelezi wapoteze muda kumchumguza polisi mwenzao? Labda kama wameikuta hiyo pikipiki chumbani kwa huyo polisi.
Absolutely true!Polisi hawana matatizo. Wenye matatizo ni wananchi.
Ni zaidi ya siku 20 zimepita tangu dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Deogratius Shirima (34) mkazi wa kata ya Korongoni wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, kudaiwa ametoweka katika mazingira ya utata huku pikipiki aliyokuwa akitumia kukutwa nyumbani kwa Askari Polisi mkoani humo.
Mke wa Deogratius akizungumza na GADI TV akiwa nyumbani kwake wilayani humo, amesema pikipiki hiyo ilibainika kuwa ipo nyumbani kwa Askari Polisi anayetajwa kwa jina moja la Rama, baada ya mmiliki wa pikipiki hiyo kufanya kitendo cha ‘ku-track’.