Mke wa producer nguli na mmiliki wa BeatsByDre, bwana Dr.Dre ameomba talaka baada ya kuishi wote takribani miaka 24 kwenye ndoa. Iwapo mahakama itaamuru waachane, basi mwana mama Nicole Young atapata nusu ya utajiri wa Dr.Dre unaokadiriwa kuwa takribani dola milioni Mia nane (800$M) kwa ratings za mwaka 2019.
View attachment 1493339
Ndipo hapa ninapowapinga waliberali.....
Jamani hebu TUWEKE HISIA za haki za kina mama pembeni.....
Yaani MWANAUME anahangaika toka ujana wake...ikumbukwe mpaka kuhangaika huko kafinyangwa na wazazi wake....halafu mke atakapo talaka basi HALF OF THE FORTUNE goes kwa mwanamke....
Huku ile half awatunze wanae,awasomeshe,awasaidie wazazi wake km wapo,ajipange tena kimaisha.Kumbuka Dre ni mwafrika...hata km Yuko kwa weupe bado zile Mila za UJAMAA WA KIFEMILI hauishi damuni mwetu.......
Msinifikirie vibaya ila nashangaa sioni ikipigwa pasu kwa pasu kwa wake matajiri pale wanapotalikiana na waume zao.....kwani wake matajiri hawapo?!!!
SERA NYINGI ZA KILIBERALI ZIMEUNDWA KWA AJILI YA MFUMO WA WATU WEUPE huku zikipigia chapuo FEMINISM....
Kiukweli sera HIZI zinaumiza Sana hasa kwa sisi waafrika na wasio wamagharibi.
Jamani KUTAFUTA Mali ndio kugumu kuliko yote DUNIANI...we huoni mpaka baadhi ya wenzetu huwa "mabaradhuli" wakaendewa na wanaume jamili zao.
We huoni mpaka watu wanamkana muumba wetu na kufanya makafara ya damu za vipenzi vyao ili mradi tu wapate MALI...
Yaani mi nadhani huko kwa kina Drake HAKUNA makafara ya kuwafanya ndondocha watoto,waume,wake na wazazi wao.
KWANI
Yangekuwepo hayo nadhani wasingeweka vipengele vyenye kupendelea WAKE ZETU.....
Yaani mi nnavyohangaikia vitoto vyangu halafu siku mwenzangu atake talaka na atake PASU KWA PASU yangu kisa ANANIPIKIA KISA ANANIPA USINGIZI KISA ANANIFULIA MASHATI yangu Yale ya kampeni za CCM na zile kanzu ZANGU ninazokwendea kula biriani katika hafla TOFAUTI....
Yaani wallahi nampandia boti CHOKOCHO Pemba,Bweni TANGA,Kasulu Kigoma kumtafutia KIJINI MAKATA cha laki 5πππ