Rubawa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 2,055
- 3,254
Mzungu yupo wapi hapo unamjua vzuri Mariah Carey km ni mtu mweusi ndio itakuwa huyo mke Dr. dre...Aunt umewahi
Mleta mada.Sababu ni nini?ila hawa black wenzetu hasa wenye hela wanapenda wazungu na sio black wenzao. Mwisho wa siku divorceau vifo vya kutatanisha.
#miesiombaguzi