Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Kuna tofauti. Naenjoy navimada ila narudi nyumbani....Hata nyie mna kero kubwa Sana Kuna wanawake wengine wameanza chini mkipata hela mnakimbia wake zenu, na ku enjoy na vimada.
So hyo tabia iko kila corner regardless ya jinsia