Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Kwa kweli hata Mimi sinto muacha salama
 
Kanye West na kampuni ya Yeezy anakuja kwa Kasi kuchukua hiyo namba 1
Kanye yuko on fire ..but awe makini tu ile family aliyoenda kuoa siku akisema aachane na Kim ndio utakuwa mwisho wake
 
Kuna watu wanaongea lugha/kiingereza kigumu humu, yaani ni ngumu hata kuelewa nini anataka hadhila hii ipate
 
Nicole Young is not white.
 
Mkioana mali mnazochuma ni za wote. Dre na mkewe watagawana mali zilizopatikana WAKATI WAKO KWENYE NDOA TU,alichokuwa anamiliki Dre kabla ya ndoa hakitaguswa. Hata hapa Tanzania hiyo sheria ipo. Pia watu wajue kwamba hii sheria ina-apply kotekote. Ingekuwa Nicole ndiye mwenye mpunga wangegawana vile vile.
 


Sheria inategemea na makubaliano tangu mwanzo. Pasu kwa pasu inakwenda kama hakuna prenup. Kwa upende wangu mimi sitaki kushirikiana kiuchumi, I know the struggle very well. I was born with nothing, kwahiyo sitaki mtu yoyote anitumie kwa hila. Believe me, I can give a lot na mpenzi wangu anaweza kufaidi bila limit, lakini msimamo wangu ni palepale. Usinitanie kwenye maswala ya mkwanja.
 
Ma black ilaya wanaoa wazungu sababu wanawaje wao wamepinda.



Hamna mtu limbukeni na iga iga km mwanamke mweusi yaani ukienda ulaya wao ndo wanaongoza kwa tabia chafu ujinga ujinga wote wa mastar wa ulaya unaigwa sana na black women plus ni wakorofi kwelikweli

Kwahiyo ni sawa kbs mwanaume mwenye akili timamu hawezi kuoa mwanamke mwenye tabia za ajabu
 
Dre na mkewe hawana prenup.
 
Hizi mbweha Dr Umar Johnson anazionya kutwa kuhusu kukimbilia kuoa hivi vibibi vya kizungu lakini hazielewi.

Hela haina maana kwao bila white woman,hovyo kabisa.
Dr Umar,huwa namskiliza sana yule jamaa,ana point sana na inaonekana anaipenda sana Race yake.Anakwambia".A real black man should marry a black woman"..Period.
 
Dr Umar,huwa namskiliza sana yule jamaa,ana point sana na inaonekana anaipenda sana Race yake.Anakwambia".A real black man should marry a black woman"..Period.
Yule jamaa ni hatari,anajenga hoja kiasi kwamba ukitaka kupambana nae ujipange haswa otherwise utajikuta umekuwa mpenzi msikilizaji tu.
 
Well, it's your turn to prove that she is white.
 
Still waiting ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…