Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Kama ni hivi apambane na hali yake tu.
 
Jeff Bezos mwaka Jana alipeana taraka na Mke wake Mackenzie na Mke wake akapewa Dola Bilion 38 za utajiri wa Bezos lakini mwamba bado Yuko namba Moja ya wanadamu matajiri dunian.


Hivi tunavyoongea Mackenzie Yuko top 5 ya wanamke matajiri duniani ...

Dre akomae tu. Maisha Ni kuchagua na kupanga.
 
Hizi sheria ni adui wa wanaume, pasu kwa pasu ni too much. Wajameni tuwe makini na mambo ya kuchanya pesa na mahusiano siku zote mwisho wake ni mbaya.
Huwezi jua babu, maana wameishi miaka mingi sana kwenye ndoa Dr alikuwa hatengemea ingetokea hii...

Jay Z 😂😂 mwamba Drew dre anapita wakati ngumu sana just imagine wanagawana pasu kwa pasu .. Jamaa atakuwa mbali sana kwenye list ya wana hip pop ma billionaire

marekani ma black yanavyo chukiwa mahakama itafanya chap chap kutoa hukumu
 
Kanye West na kampuni ya Yeezy anakuja kwa Kasi kuchukua hiyo namba 1
 
Hahaha dah wewe mrembo hata usipokua na hela mzungu unamdaka tu ,kuwadi mange.

Kuishi sana majuu wanajikuta na kaugonjwa ka kupenda watoto shombe shombe. Mtu kama sadio mane ili kuikimbia rangi yake isienee kwa wanae anaoa kazungu kanamletea vitoto vizungu.

Kanye nae kadaka ka kim kake,jay z kadaka kachotara bey,kobe alidaka mzungu wake,pogba ana kazungu list ndefuuu
Hawana uzalendo basi,au kuna kinachowavutia kutoka kwa wazungummmm ila ata mimi nikipata hela naolewa na mzungu aunt😌
 
Diamond kamdaka Tanasha
 
Hapo kwa Jay Z asiombe yamtokee maana kuna mgao na bado atapigwa rungu la child support
 
ya nini kulala gizani haliyakuwa mwangaza upo
 
😂 😂


Au pengine blacks wanataka kukieneza kizazi chao? Kwa kupata shombeshombe🤔
 
Daaah Ila duniani kuna watu Wana mawe laana
 
Hizi sheria ni za kijinga sana. Sometimes kuna haja ya kuwekeana makubaliano mwanzoni, kwamba mm na ww ni forever, ikitokea tumeachana basi kila mmoja anabaki na vilivyo vyake.
Ipo hyo mbona prenup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…