Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Yani unataka avumilie kero na maumivu kisa kaolewa na bilionea, eeeh na huyo hajashawishiwa na yoyote kachoka tu mahusiano 24 years kavumilia na kuchoka ka migogoro haiishi. Na amekuja ku notice late money won't buy ur happiness, Kuna watu ni wazee wameachana na kesi ilitolewa talaka mahakamani kabisa.
Hii ya kujifanya kuvumilia ndo watu huuana ka sio kwa pressure kuchomana mikaa.
Try to contain your frustration, not necessarily the public to notice. Ni ushauri tu. Inaonekana kichwani hupo sawa.
 
Try to contain your frustration, not necessarily the public to notice. Ni ushauri tu. Inaonekana kichwani hupo sawa.
Utakuwa na kichaa au mapepo wewe Toka lini ku comments kukawa frustration humu JF, please heshimu mtazamo wako I'm free creature Sina stress Wala Nini, wewe ka hauko happy usifikirie na wengine.
Tena ukome kuni quote kabisa mfyuuuu na staki ushauri kwa kibamia chako
 
Mke wa producer nguli na mmiliki wa BeatsByDre, bwana Dr.Dre ameomba talaka baada ya kuishi wote takribani miaka 24 kwenye ndoa. Iwapo mahakama itaamuru waachane, basi mwana mama Nicole Young atapata nusu ya utajiri wa Dr.Dre unaokadiriwa kuwa takribani dola milioni Mia nane (800$M) kwa ratings za mwaka 2019.View attachment 1493339
Dr dre bado anamiliki beats by dre?
 
Amani hiyo ni ya nini bita au corona..... Wanawake ni wabinafsi sana..... Na mnatamaa.... Mtu anakupa mali yake na pesa zake utumie kama zako na unajua source ya kutafuta ni yeye why unaleta usenge.....

Kama unajifanya unaondoka sababu ya maumivu ya hisia nenda basi kaanze maisha yako, unataka utajiri wake ili iwaje.... Usenge tu....

Nilifurahi Michael Jordan mwanamke wake alileta usenge kama huu jamaa ile anapiga chini tu alamba dili kali akapata pesa mara tatu ya zile alizochomolewa na settlement za mahakama.....

Me labda niwe hivi hivi wa kupata vi elfu 50,000 vya kubadilisha mboga, aisee niwe milionea aaaah wanawake ninawapa mimba tu mtoto akifika miaka mitatu nachukua mtoto wangu napita hivi naishi nao fresh tu hadi wanakuwa wakubwa.... Maana wanawake mna mambo ya kisenge sana..... Hela hamtafuti, hata mkitafuta hamna jeuri ya kutumia kwa mwanaume kama vile tunavyoshare nanyi, mnapenda kupewa attention za kifala utadhani ninyi ni watoto wadogo wakati majitu mazima na mna akili timamu.

Mtu unaacha kufocus na majukumu yako ya ndoa unaanza mfuatailia mwanaume katika mambo yasiyokuhusu mara utamani mali zake kisa roho ya ubinafsi imekuingia unataka umtoe roho ubaki na mali zake... Usenge tu..... [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Kaka tafuta hela hizi hasira zitakata! Pole Sana!💕
 
Utakuwa na kichaa au mapepo wewe Toka lini ku comments kukawa frustration humu JF, please heshimu mtazamo wako I'm free creature Sina stress Wala Nini, wewe ka hauko happy usifikirie na wengine.
Tena ukome kuni quote kabisa mfyuuuu na staki ushauri kwa kibamia chako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we dea vepeeh, naona so poa lol
 
Watu weusi wakifanikiwa hupenda kuoa wazungu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we dea vepeeh, naona so poa lol
Hahaaaa huyo kaja ananishtumu from nowhere jamani kah nikaamua nimchambe Cha usiku usiku maana my day was busy kah[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha tu dear sio yeye tu Kuna group la wanaume tofauti tofauti, wanapenda kunitukana bila sababu bana yani
Khaaaaah deal nao tyuuh personal km hivi aan, had washtuke
 
Utakuwa na kichaa au mapepo wewe Toka lini ku comments kukawa frustration humu JF, please heshimu mtazamo wako I'm free creature Sina stress Wala Nini, wewe ka hauko happy usifikirie na wengine.
Tena ukome kuni quote kabisa mfyuuuu na staki ushauri kwa kibamia chako
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
 
Back
Top Bottom