Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,733
========one of the greater thinker. umefikisha miaka kumi nane kweli wewe? utumbo gani huu unaandika humu
karibu jamvini mama na ple sana na msukosuko wa vyombo vya habari. Kumbuka kitu kimoja; maisha yako ya ndoa yaliacha kuwa ya 'binafsi' pale mumeo alipotangaza kuomba uongozi wa taifa; na kwa taarifa yako, yote mnayoyasema au mnayoyafanya ni mali ya umma.
Tena bora watu wa magazeti wanawekewa luku lakini hapa ukumbini hakuna jiwe ambalo halitafunuliwa kutangaza habari zenu, familia zenu na historia zenu hata yale mliyofikiria yameshasahaulika au kupitwa na wakati.
Mkuu mtu tunaye taka kumchagua kwenda ikulu hatujui hata status yake ya ndoa, yeye kamtanbulisha kama mchumba wake kisha josephine kaandika mume wangu, ndio ikaulizwa kwa ndoa gani?Ndoa ya Josephine unaijua vipi au ile kuisoma kwenye magazeti ndiyo inakufanya uwe mjuzi wa ndoa yao je umefuatilia wametoka wapi na walianza lini, kwa nini hamjiulizi vitu vyepesi vyepesi kama hivyo, na je unajuaje mila na desturi za kimbulu kama ukishatoa kishika uchumba achilia mbali mahari ndiyo ameshakuwa mke wako au unataka kulazimisha mambo ya kizungu lazima uone matarumbeta ndio ujue hao ni mme na mke?
acheni cheap politics za eveything goes, hiyyo ndo inadhihilisha kuwa ccm wanahofu kubwa na dr slaa kwa kutumia kila cheap politics hawajui kuwa wao ndo zitawaumbua kweli kweli sio leo wala kesho, waswahili wanasema mpanda ngazi hushuka! Then kuweni makini n athis bulshit na waandishi uchwara!hatuna tatizo na mila wala utamaduni ila yeye mwenyewe ndie anaepingana nazo kwa kutupa reference za bible na kwenda kufunga ndoa kanisani.
Ikiwa yeye mwenyewe hajijui kama anafuata mila au bible sisi tutamsaidiaje?
acheni cheap politics za eveything goes, hiyyo ndo inadhihilisha kuwa ccm wanahofu kubwa na dr slaa kwa kutumia kila cheap politics hawajui kuwa wao ndo zitawaumbua kweli kweli sio leo wala kesho, waswahili wanasema mpanda ngazi hushuka! Then kuweni makini n athis bulshit na waandishi uchwara!
Natumaini watu wengi hawana wasi wasi na sera za Dr Slaa ninzuri sana kama zilivyo za vyama vingine========
OK, msg delivered. Sasa tuongee hoja na sera tuachane na ndoa za watu.
Watu wazima na sisi tusio na miaka 18 tumeweka ilani pembeni tukaanza mambo ya ajabu.
Dr. Slaa ametoa Ilani na ahadi. Tuzihoji. Ndoa yake haikusababisha matatizo ya watanzania.
Mkuu mtu tunaye taka kumchagua kwenda ikulu hatujui hata status yake ya ndoa, yeye kamtanbulisha kama mchumba wake kisha josephine kaandika mume wangu, ndio ikaulizwa kwa ndoa gani?
nakama ni kimbulu si aseme tu kunashida gani
Yah hizi kele zingine hazi mbele wala nyuma eti wanataka kumpangia Josephine lini aanze kuita mme it is nonsense kuna watu hapa walianza kuishi kama vimada tu hadi leo wana watoto na bado wanaitana mme na mke. Mimi nina watoto wanne sasa nilitoa mahari tu hatukufanya harusi mamsapu wangu toka nitoe kishika uchumba ananiita mme, hawa watu wanataka kunichonganisha na mke wangu naye aache kuniita mme.========
Quinine
Unajua wengine humu wangetamani Dr. Slaa achukue wake zao. Hilo ndilo linawauma na kupiga kelele tunazosikia. Hakuna hata mtu mmoja ndani ya CCM anayeweza kunyosha kidole kwa Dr. Slaa. Ndiyo maana wamewaachia akina Kulangwa kuendeleza udaku huu. Siku moja Kulangwa atakuja anapiga kelele kachukuliwa mkewe na Mkuchika! Mtakuja kuona.
EXECUTIVE
kusema tu hizi ni private matters hivyo ziachwe haitoshi.lazima ukubali hapa Dr kachafuliwa anahitaji kujisafisha kwa mpiga kura, mimi na wewe tunaweza kukubaliana ni private matters lakini mpiga kura ameambiwa Dr hafai sababu ni mwizi wa wake za watu, na kwa taarifa yako nchi hii kuwa na vimada hata mia sio issue kabisa, lakini kuiba mke wa mtu ni issue kubwa, ndio maana kila anaye changia anasema nani msafi mbona Jk anavimada nk, lakini haiwi issue kama ya kuiba mke wa mtu
kwa lugha nyingine ni lazima Dr ajibu hili kuwaridhisha wapiga kura
ukipenda sana chongo unaona kengezamhhh huyu mama mbona ana hekima zmepitiliza....Hivi siruhusiwi kupiga kura mara mbili jamani nimpigie huyu Dr.Slaa mara mbili mbili.....maaana baba chuma mama naye chuma....Duh
Acha uwongo wako na huyo Mungu wako. Ungekuwa kweli unataka faraja ya moyo usingethubutu kwenda Dodoma Kinyemera kumfuata Slaa huku ukiaga familia yako kuwa unaenda kikazi!. Wala usingewaacha wanao nyumbani na kwenda kujirusha na Slaa kule Mtongani na baadaye kurudi kwa mmeo. Umetenda dhambi kubwa sana. NInachojua mimi na huko nako ulikoenda faraja itakuishia muda si mrefu utaitafuta pengine. Shauri yako na kesha ukiomba.
point noted tusubiri baada ya uchaguzi tuoneKachafuliwa kwa nani wasoma magazeti wote ni wajanja na wanaupeo mkubwa wa kuchambua mambo na kujua hizi ni politics of everything goes! Dr kawapiga kombora la WIZI WA FEDHA ZA UMMA wao wanatoka na album yenye track mbili UPADRI WA DR SLAA NA NDOA! sijuui kama unanielewa hawa watu wamekwisha na hizi cheap dirt tricks ndo zinawamaliza kabisa, so haina haja ya kujibu upuuzi wakati watu tuna ongelea issue kubwa zenye manufaa kwa TAIFA zima, hao watu wa vijijini hawana hata pesa ya kunua magazeti na magazeti hayafiki vijijini so haina haja ya kujibu chochote ila ni kuendelea kuwapiga nyundo, tu!
Sasa watakuja na mpya gani? Dr ataendelea kuwatandika nyundo tu mpaka watatia akili
Natumai umenukuu hayo uliyoyaandika kutokana na yale yaliyoandikwa kwenye "Habari Leo" na "CHANGAMOTO". Mojawapo ya Amri Kumi za Mwenyezi Mungu (ambazo ni kwa watu wote) ni ile amri inayosema "Usimshuhudie jirani yako uongo".
Mfumo wetu wa jinsi ya kutenda haki unawataka anayeshtaki na anayeshtakiwa wapewe haki sawa. Kwa Mhariri wa gazeti kuandika tuhuma za upande mmoja, sio tu kwamba anakuwa hajatenda haki, lakini anakuwa amekiuka maadili ya uandishi wa habari.
Unadai kwamba mama Josephine "amewaacha watoto nyumbani na kwenda kujirusha na Slaa kule Mtongani", hebu tukuulize: ULIKUWAPO? UNA UHAKIKA?
Habari za kusikia, au kusoma kwenye gazeti, kamwe haziwezi kuwa ushahidi unaokubalika mahakamani. Zinaitwa "hearsay evidence", yaani, "ushahidi wa kufikirika".
Kabla hujahukumu, tafuta ushahidi usiopingika, usiwe MSHABIKI! Ushabiki utakuponza, kama ulivyowaponza wana-CCM wengi.
Hizi ni njama za CCM - kuwatafuta mamluki - kumchafua Slaa. HAWAMCHAFUI, bali, WANAMJENGA! Kama si kweli wanafanya hivyo, hakukuwa na sababu ya KUGAWA BURE nchi nzima kijarida cha CHANGAMOTO, tena baada ya kuchapisha nakala 45,000, wakati kijarida kile kinachapishwa si zaidi ya nakala 5,000 kwa wiki!
Mungu Ibariki Tanzania! Tuepushe na mafisadi hawa!
-> Mwana wa Haki
Kigogo hawa watu ni simple minds. Hawana jipya. Kwani Zuma alikuwa ana skendo ngapi kabla ya kupewa urais. Na ameshindwa nini katika kuendesha nchi? Lets look on what the guy is going to do for Tanzanians rather than these cheap politics za kuchafuana.ndoa inahusiana nini na ikulu...Ni heri kuwa na ndoa isiyoeleweka kuliko kuwa na wanawake na mitoto kila kona halafu ukataka kwenda ikulu
Slaa achafuliwe na nani, kwa tanzania ninayoijua hakuna kiongozi yeyote wa CCM anayeweza kumchafua Dr. Slaa, wanajichafua wao na matope yanawarudia wao. Sasa Slaa anajulikana zaidi kuliko zamani. Hata Republican walianza kuingilia ndoa ya Obama kwa kumhusisha na Pastor mwovu asiyependwa na wamarekani lakini at the end matope yakawarudia.mkuu ndio maana nikasema Dr kachafuliwa anahitaji kujisafisha kwa wapiga kura, habari ya Anna mkapa wao wanajua walivyo ihandle ikasha na ukumbuke wakati huo vyombo vya habari viliminywa kidogo sio kama sasa Jk kaviachia viandike tu,
lakini kama wewe unaona issue inamjengea publicity na sympathy kwa watu then its ok
lakini kwamimi naona hii ni shida
ndoa inahusiana nini na ikulu...Ni heri kuwa na ndoa isiyoeleweka kuliko kuwa na wanawake na mitoto kila kona halafu ukataka kwenda ikulu
Mbona wewe unampenda marehemu mtarajiwa hatusemi.ukipenda sana chongo unaona kengeza
Mkuu nakwambia hii issue ni mahususi kwaajili ya kupata kura za akina mama kuwa Dr ni hafai anaharibu familia za watu na amewazalilisha wanawakeSlaa achafuliwe na nani, kwa tanzania ninayoijua hakuna kiongozi yeyote wa CCM anayeweza kumchafua Dr. Slaa, wanajichafua wao na matope yanawarudia wao. Sasa Slaa anajulikana zaidi kuliko zamani. Hata Republican walianza kuingilia ndoa ya Obama kwa kumhusisha na Pastor mwovu asiyependwa na wamarekani lakini at the end matope yakawarudia.
Kwa hiyo wewe umeona matatizo ya watanzania yatatatuliwa na wewe kuwa na FURUSHI la information za Slaa guys tukue kiakili basi tuache ushabiki.Unataka uthibitisho. Mwanzoni kabisa niliwaambia nina furushi la information za Slaa. Hizi sasa hivi ni rasha rasha tu, ndogo sana. Stay tuned