Mke Wa Dr. Salaa Josephine Alonga Na JF

Status
Not open for further replies.
CCM wanahujumu Taifa kwa kuibua issue binafsi.

Tumeamka watz
 
Ha ha ha! Huyu Josephine kweli? Mlutheri? Ha ha haaa wenye akili hawadanganyikiiiii

kauli ya mkristu kwa mlutheri pia ni kitendawili.....wakristu ni wa RC ndio wanapenda kutumia hiyo lakini wakutheran hawana hii..anyway awe mkristo..mkristu juu yakee

Cha msingi hapa hatuwezi kumsafisha slaa kwa kutumia makosa au uchafu wa wengine waliotangulia....km woote hao mkapa,mwinyi etc walikuwa na udhaifu huo..hatuwezi kuutumia huo kumsafisha slaa la hasha...
ila swali langu kubwa ni moja je ....inatosha kumhukumu slaa kwa hili na kuona kuwa hafai kuongoza ???? ni kigezo sahihi?
mix with yours
 
Ndoa ya kanisani haiwezi vunjwa kirahisi rahisi namna hiyo.

Na hakuna kitu kinachouma kama kuibiwa mke ,ufisadi wa pesa sio kitu, KWA wakristu tunaambiwa mmeunganishwa na kuwa kitu kimoja na kilichounganishwa na Mungu binadamu hawezi vunja.

Na kuna kipengele chasema dhambi ile anayotenda mtu juu ya mwili wake mwenyewe ndio iliyo dhambi KUU.(nirekebishe).

DHAMBI ya kuiba mke wa mtu iliwahi kufanywa na DAUDI mfalme. Mungu hakulivumilia hilo akamuadhibu. KOSA la kuiba wake za watu ni kosa lisilovumilika.
 
kaka MkamaP soma gazeti Huru la tarare 1-7 September jamaa hadi cheti chake cha ndoa kakiweka analia na wizi wa kuibiwa mke wake na SLAA.
MWAKA 2007 ALIPATA MTOTO NA JOSEPHINE. CHETI CHA NDOA CHA JOSEPHINE NA MAHIMBO NI 0006875.
 


Nikigezo sahihi
Mtu kama huna huruma juu ya familia ya mwezako na kuamua kuivuruga bila huruma, je unategemea atakua na huruma juu ya wagonjwa pale mhimbili?
Kama huyo mwanamama alikua na matatizo ya kifamilia yani busara zake huyo slaa ni kumchukua huyo mke na kumuoa? na kama ndiyo sasa je? atawasaidia akina mama wote masikini na wenye matatizo kwa kuwaoa?
 
Kama kweli huyu Josephine ndiyo mwenza wa Dkt. Slaa basi sidhani kama ni busara kwake kuja kuandika humu. Mimi ningeshauri yeye na mumewe waachane kabisa na hii forum na waendelee na kampeni.

Malumbano ya humu wawaachie surrogates wao. Sioni faida ya wao kujibizana na watu watumiao majina bandia humu. Wao ndio walio na cha kupoteza zaidi kuliko sisi wenye majina bandia.
 
Nina uhakika 100% haya maelezo ya huyu Josephine yamepandikizwa.
Epic Fail.
 
Kwa hiyo kosa umeliona kwa Slaa tu.
 
Sasa huyo mwenye vimada amewasaidiaje kinamama wa mhimbili acha hizo.
 



HABARI YA KUPIKWA HAINA UKWELi WOWOTE
 
Inabidi sasa tuwe tuna hit penyewe maana tunazunguka mbali sana hawa jamaa hawaelewi kuwa wanatumika wenye nazo wako Masaki na Osterbay wakipulizwa upepo wa bahari.

Hahahahahaha! Mtakoma hasa. Tuko fit sana kwa idara zote.
 
hebu tupe msaada wa maana ya SOAR LOOSER. maana kwenye makosa ya kiswahili tunaweza kupata maana tukijitahidi ila hapo pamenipiga chenga kidogo.

Sory guys, i was in hurry ilikuwa inatakiwa kuwa SORE LOSER , then huyo ndugu yenu mahimbo ni SORE LOSER
 
hapo palipofutwa namaanisha kudondoka hadi kuvunjika mkono maliwato...ni maradhi?au kupigwa jini baada ya kuiba mke wa mtu?
 


Jamani! Hebu tuwe makini kidogo katika mambo tunayoyaandika hapa. Ni lini Mkapa alimnyang'anga Mramba mke? Ni lini Anna alikuwa mke wa Mramba?..... tutofautishe uongo mweupe, porojo na facts!
 

WEWE ACHA FIX, HAKUNA DHAMBI KUMBWA WALA NDOGO usitake kuhalalisha ufisadi wako hapa fisadi mkubwa wewe eti dhambi ya kuiba pesa afadhali! FISADII MKUBWA WEWE
 
WEWE ACHA FIX, HAKUNA DHAMBI KUMBWA WALA NDOGO usitake kuhalalisha ufisadi wako hapa fisadi mkubwa wewe eti dhambi ya kuiba pesa afadhali! FISADII MKUBWA WEWE

Neno UFISADI original yake ndo hiyo ya kuiba wake za watu, zingine ni equivalent tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…