Mke Wa Dr. Salaa Josephine Alonga Na JF

Mke Wa Dr. Salaa Josephine Alonga Na JF

Status
Not open for further replies.
CCM wanahujumu Taifa kwa kuibua issue binafsi.

Tumeamka watz
 
Ha ha ha! Huyu Josephine kweli? Mlutheri? Ha ha haaa wenye akili hawadanganyikiiiii

kauli ya mkristu kwa mlutheri pia ni kitendawili.....wakristu ni wa RC ndio wanapenda kutumia hiyo lakini wakutheran hawana hii..anyway awe mkristo..mkristu juu yakee

Cha msingi hapa hatuwezi kumsafisha slaa kwa kutumia makosa au uchafu wa wengine waliotangulia....km woote hao mkapa,mwinyi etc walikuwa na udhaifu huo..hatuwezi kuutumia huo kumsafisha slaa la hasha...
ila swali langu kubwa ni moja je ....inatosha kumhukumu slaa kwa hili na kuona kuwa hafai kuongoza ???? ni kigezo sahihi?
mix with yours
 
Ndoa ya kanisani haiwezi vunjwa kirahisi rahisi namna hiyo.

Na hakuna kitu kinachouma kama kuibiwa mke ,ufisadi wa pesa sio kitu, KWA wakristu tunaambiwa mmeunganishwa na kuwa kitu kimoja na kilichounganishwa na Mungu binadamu hawezi vunja.

Na kuna kipengele chasema dhambi ile anayotenda mtu juu ya mwili wake mwenyewe ndio iliyo dhambi KUU.(nirekebishe).

DHAMBI ya kuiba mke wa mtu iliwahi kufanywa na DAUDI mfalme. Mungu hakulivumilia hilo akamuadhibu. KOSA la kuiba wake za watu ni kosa lisilovumilika.
 
kaka MkamaP soma gazeti Huru la tarare 1-7 September jamaa hadi cheti chake cha ndoa kakiweka analia na wizi wa kuibiwa mke wake na SLAA.
MWAKA 2007 ALIPATA MTOTO NA JOSEPHINE. CHETI CHA NDOA CHA JOSEPHINE NA MAHIMBO NI 0006875.
 
kauli ya mkristu kwa mlutheri pia ni kitendawili.....wakristu ni wa RC ndio wanapenda kutumia hiyo lakini wakutheran hawana hii..anyway awe mkristo..mkristu juu yakee

Cha msingi hapa hatuwezi kumsafisha slaa kwa kutumia makosa au uchafu wa wengine waliotangulia....km woote hao mkapa,mwinyi etc walikuwa na udhaifu huo..hatuwezi kuutumia huo kumsafisha slaa la hasha...
ila swali langu kubwa ni moja je ....inatosha kumhukumu slaa kwa hili na kuona kuwa hafai kutuongoza ???? ni kigezo sahihi?
mix with yours

Nikigezo sahihi
Mtu kama huna huruma juu ya familia ya mwezako na kuamua kuivuruga bila huruma, je unategemea atakua na huruma juu ya wagonjwa pale mhimbili?
Kama huyo mwanamama alikua na matatizo ya kifamilia yani busara zake huyo slaa ni kumchukua huyo mke na kumuoa? na kama ndiyo sasa je? atawasaidia akina mama wote masikini na wenye matatizo kwa kuwaoa?
 
Kama kweli huyu Josephine ndiyo mwenza wa Dkt. Slaa basi sidhani kama ni busara kwake kuja kuandika humu. Mimi ningeshauri yeye na mumewe waachane kabisa na hii forum na waendelee na kampeni.

Malumbano ya humu wawaachie surrogates wao. Sioni faida ya wao kujibizana na watu watumiao majina bandia humu. Wao ndio walio na cha kupoteza zaidi kuliko sisi wenye majina bandia.
 
Nina uhakika 100% haya maelezo ya huyu Josephine yamepandikizwa.
Epic Fail.
 
Ndoa ya kanisani haiwezi vunjwa kirahisi rahisi namna hiyo.

Na hakuna kitu kinachouma kama kuibiwa mke ,ufisadi wa pesa sio kitu, KWA wakristu tunaambiwa mmeunganishwa na kuwa kitu kimoja na kilichounganishwa na Mungu binadamu hawezi vunja.

Na kuna kipengele chasema dhambi ile anayotenda mtu juu ya mwili wake mwenyewe ndio iliyo dhambi KUU.(nirekebishe).

DHAMBI ya kuiba mke wa mtu iliwahi kufanywa na DAUDI mfalme. Mungu hakulivumilia hilo akamuadhibu. KOSA la kuiba wake za watu ni kosa lisilovumilika.
Kwa hiyo kosa umeliona kwa Slaa tu.
 
Nikigezo sahihi
Mtu kama huna huruma juu ya familia ya mwezako na kuamua kuivuruga bila huruma, je unategemea atakua na huruma juu ya wagonjwa pale mhimbili?
Kama huyo mwanamama alikua na matatizo ya kifamilia yani busara zake huyo slaa ni kumchukua huyo mke na kumuoa? na kama ndiyo sasa je? atawasaidia akina mama wote masikini na wenye matatizo kwa kuwaoa?
Sasa huyo mwenye vimada amewasaidiaje kinamama wa mhimbili acha hizo.
 
Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ph-kulangwa-habari-leo-sasa-ni-zamu-yako.html

Ndugu wana JF,

Nimekuwa nikisoma nakufatilia trend zote zilizokuwa zinanihusu,naomba kuwashukuru wote mlioweza kutoa maoni ambayo yamewajenga wengi wanaopitia mtandao huu,leo nimeamua kuvunja ukimya na kujiunga na wana JF ili inapotakika basi mniulize mwenyewe kuliko kusikiliza watu wachache wenye ajenda zao binafsi.Mimi ndiye Josephine Mushumbusi.Sijawahi kuongea au kuulizwa chochote juu ya maisha yangu binafsi vyombo hivi nya habari vimekuwa vikiandika mengi juu yangu leo,sitashangaa sana kwakuwa hilo ni lengo lao.

Ndugu wanaJF,kwa wanaojua maisha ya ndoa,watakubaliana na mimi ndoa ni ya watu wawili ndoa haielezewi mahali pa wazi,ndoa ni ndani ya chumba chenu,watu wengi wamehukumu hasa wanapotazama maadili ya ndoa za kikristo,

mimi ni mkristu na nimejifunza Biblia vizuri,Lakini ni biblia hiyohiyo imetoa ruhusa kuwa ndoa inaweza kuvunjika kwa sababu ya msingi sana.

napenda niwaeleze,mtasoma mambo mengi,mimi ninao moyo mkuu kwakuwa najua nijinsi gani mtu anavyoweza kutumiwa,sikutengana na Mahimbo leo wala mwaka jana,nasikuanza kuishi na Dk leo.

Naomba tu mjiulize katika utaratibu wa kawaida Ndugu tunao,wachungaji tunao mbona wao wako kimya?naelewa na ninajua vitisho vyote alivyopewa mahimbo na kutengeneza habari hizi zote,Ndugu zangu tusipende kutengenezeana shutuma kwani tunajichumia dhambi za bure,USILOLIJUA NIKAMA USIKU WA GIZA

Nilikuwa na Uhuru kumpenda mtu aliyenipa amani na faraja.Na sikuwanasababu ya kujifunga katika shimo lisilokuwa na matumaini hati kwasababu ya ahadi au kiapo.Ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya kuishi ndani ya viapo visivyo na matumaini?

Nitasonga mbele na Kumuangalia Mungu kama Hakimu wa kweli,sitaogopa Mtu yeyeto kutoa maoni yake binafsi juu ya maisha yetu kwani hatukuyaanza leo.

Wahariri nivema mkatumia utaalamu wenu na si kutumika kama mnavyotumiwa sasa,Nililijua hili mapema sitarudi nyuma daima tutasonga mbele.

NA MUNGU ATAFUNGUA NJIA NITAMTUNZA MUME WANGU MPYA ILI UMAKINI NA HEKIMA ZAKE ZILETE UKOMBOZI KWA WATANZANIA WOTE.NITASIMAMA KATIKA ZAMU YANGU KAMA MKE MWEMA NA HAKUNA LITAKALOHARIBIKA,KWANI NINAYAWEZA YOTE KWAKE YEYE ANAYENITIA NGUVU.Efeso 4:13

Najua jambo moja tu,mipango ya Mungu si kama mipango ya wanadamu.na ndiyomaana ametupa ujasiri wa kujiweka wazi bila kuogopa shutuma zozote.

HABARI YA KUPIKWA HAINA UKWELi WOWOTE
 
Inabidi sasa tuwe tuna hit penyewe maana tunazunguka mbali sana hawa jamaa hawaelewi kuwa wanatumika wenye nazo wako Masaki na Osterbay wakipulizwa upepo wa bahari.

Hahahahahaha! Mtakoma hasa. Tuko fit sana kwa idara zote.
 
Muonyeshe hii

48004_158525357494322_100000105773774_547649_3993164_n.jpg
kwani kule ****** kudondoka ilikuwa nini?sio maradhi?au kupigwa jini baada ya kuchukua wake za watu?
 
hebu tupe msaada wa maana ya SOAR LOOSER. maana kwenye makosa ya kiswahili tunaweza kupata maana tukijitahidi ila hapo pamenipiga chenga kidogo.

Sory guys, i was in hurry ilikuwa inatakiwa kuwa SORE LOSER , then huyo ndugu yenu mahimbo ni SORE LOSER
 
hapo palipofutwa namaanisha kudondoka hadi kuvunjika mkono maliwato...ni maradhi?au kupigwa jini baada ya kuiba mke wa mtu?
 
paulss una uhakika gani na habari uliyoisoma, ina maana hujui gazeti lililotoa linamilikiwa na nani au hujui kuwa hiki ni kipindi cha kampeni na hujui malengo ya habari hiyo ni yepi. Kama hujui nitakubaliana na maoni yako lakini kama unajua basi wewe ni mmoja wa wanaotaka kueneza habari hiyo na siwezi kukuzuia.

Kama unasema vimada si issue kwa JK utatuambia nini Kwa mke wa Mkapa Anna, mbona Mkapa alinyang'anya mke wa Mramba kwa ajili tu ya kupata urais. Hii yote unayoiona ni kiwewe cha CCM kukosa kitu cha msingi kumkosoa Slaa hawana wamebakiza udini na ndoa za watu kitu ambacho hakitawasaidia kamwe badala ya kumchafua wanamjengea publicity na sympathy ya bure kwa watu wa vijijini unaowasema walikuwa hawamjui.

Jamani! Hebu tuwe makini kidogo katika mambo tunayoyaandika hapa. Ni lini Mkapa alimnyang'anga Mramba mke? Ni lini Anna alikuwa mke wa Mramba?..... tutofautishe uongo mweupe, porojo na facts!
 
Ndoa ya kanisani haiwezi vunjwa kirahisi rahisi namna hiyo.

Na hakuna kitu kinachouma kama kuibiwa mke ,ufisadi wa pesa sio kitu, KWA wakristu tunaambiwa mmeunganishwa na kuwa kitu kimoja na kilichounganishwa na Mungu binadamu hawezi vunja.

Na kuna kipengele chasema dhambi ile anayotenda mtu juu ya mwili wake mwenyewe ndio iliyo dhambi KUU.(nirekebishe).

DHAMBI ya kuiba mke wa mtu iliwahi kufanywa na DAUDI mfalme. Mungu hakulivumilia hilo akamuadhibu. KOSA la kuiba wake za watu ni kosa lisilovumilika.

WEWE ACHA FIX, HAKUNA DHAMBI KUMBWA WALA NDOGO usitake kuhalalisha ufisadi wako hapa fisadi mkubwa wewe eti dhambi ya kuiba pesa afadhali! FISADII MKUBWA WEWE
 
WEWE ACHA FIX, HAKUNA DHAMBI KUMBWA WALA NDOGO usitake kuhalalisha ufisadi wako hapa fisadi mkubwa wewe eti dhambi ya kuiba pesa afadhali! FISADII MKUBWA WEWE

Neno UFISADI original yake ndo hiyo ya kuiba wake za watu, zingine ni equivalent tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom