Elections 2010 Mke wa Dr.Slaa ajitoa CCM, Ajiunga na Chadema

Elections 2010 Mke wa Dr.Slaa ajitoa CCM, Ajiunga na Chadema

Kwa hiyo amefuta kauli ya mzee wa Kiraracha kuwa"hata kama Dr. Slaa atashinda bado CCM itakuwa ikulu kwa kuwa mkewe ni mwana CCM"
 
Huu ni wakati mzuri wa kumsaidia mumewe katika kampeni
 
This was much expected especially at this time that Dr. Slaa need to President. We dont want two parties at the State House.
 
Hivi kumbe hakuwa mwana CHADEMA? sasa wakati wa kugombea ubunge wa Dr Slaa nani alikuwa anamsaidia kama mtu wake wa karibu? au CHADEMA ilikuwa inamruhusu akae jukwaa lake wakati ni diwani kupitia CCM?
 
Inawezekana ikawa Karatu au Hanang alikokuwa anagombea. Namsahuri agombee Karatu jimbo lililokuwa chini ya mme wake na akatangazie nia kwenye kampeni ya Slaa inayoendelea ya kutafuta wadhamini aungane nao huko litakuwa boost la nguvu.

Amefanya jambo la maana sana badala ya kusubiri hadi shujaa wa Watanzania atakapochukua nchi rasmi hapo October 31, 2010. Kama hawana mgombea Karatu itakuwa bomba sana kumuweka huyu mama ili apambane na huyo Dr w. Slaa wa kupandikizwa na CCM ili wapiga kura wachuuzike wakidhani ni yule yule shujaa wao kumbe ni pandikizi.
 
Anataka kugombea ubunge kupitia chadema huko karatu nini? au tayari wameshampata mtu.

This woman seems to be a fighter and an independent minded.

Karatu wameshapata mtu,nadhani anataka Hanang kwa Mary.
Hata kama alikuwa ccm unaweza kuwa huko kwa ''convinience'' lakini akabaki kuwa mpambanaji. Unadhani Aloyce au Mpendazoe walikuwa damu damu kama Kingunge.!!
Mbona Arnod Schzeniger ni Republican na mkewe ni Democrat.! Ni suala la itikadi za kisiasa tu.
 
nyamungo na kandambili naona mmerudi baada ya kutumika kwenye kura za maoni, ovyooo
 
Back
Top Bottom