Mke wa Frank Mbise, kijana aliyetekwa pamoja na Soka wa CHADEMA aongea kwa uchungu baada ya mumewe kutekwa. Amtaja Rais Samia!

Mungu hakuhusika na yaliyotokea koridoni by tarehe 10 hivi march 2021
Msimuhusishe. Aliyefanya hivyo mnamuona na kama zimwi tuu halikuli likakwisha linakula tuu na linaendelea kula
 
Kuna msemo wa Kiswahili usemao, "Kwa shujaa kulienda kilio na kwa muoga kulienda kicheko"! Muuzingatie sana bandugu!
 
Mungu hakuhusika na yaliyotokea koridoni by tarehe 10 hivi march 2021
Msimuhusishe. Aliyefanya hivyo mnamuona na kama zimwi tuu halikuli likakwisha linakula tuu na linaendelea kula
Mkuu wangu kwa vile sisi hatuna ubavu wa kupambana na wenye bunduki na mabomu,wakituonea sisi tunamlilia Mungu wa mbinguni, pindi yule mwovu akitoweshwa kwenye uso wa dunia basi tunamshukuru Mungu kuwa amejibu maombi yetu.
 
CHADEMA mpeni mtaji huyo bint ,pia mpelekeni mafunzo ya ujasiria Mali pia aachane na fikra mwanaume ndokila kitu ....labda kwenye kujegejua
 
Wapambe aka chawa wa mama kamemdanganya kwamba bila kuwapoteza hawa jamaa atapinduliwa.
Kikosi kazi cha JIWE kimesharudi mzigoni.
 
Kama ilivyotokea kwa shujaa wa Chato
Kuna mtu anamlilia arudi? Kuna mtu anasema anateseka kwasababu Mka kamchukua mtu wake? Unalingana kilio Cha huyo mama na kifo Cha mwendazake? Wewe ni mjinga kabisa ndio maana ni mwanachama wa Chadema uliyeahidi kuandamana na haukujitokeza! KUMBAVU!!
 
Wewe ni bwege tu unayestahili kupelekwa kwa Pdidy
 
Huyu rais katuharibia sana nchi.badala kufuata misingi ya utawala Bora na demokrasia yeye anafadhili magenge yake ya utekaji na uuaji.
 
Serikali ya Tanzania itawajibika.
 
Haya Mambo CDM wananufaika nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…