hassanmpilla
Member
- Feb 1, 2024
- 31
- 31
Ina umiza sana kwakweli, halafu ana mtoto mdogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hakuhusika na yaliyotokea koridoni by tarehe 10 hivi march 2021Ewe Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na ardhi,tunakuomba kama ulivyotuamulia ugomvi wa awamu ya tano utuamulie na huu wa awamu hii kwani kikombe cha maovu yao kimekwisha jaa. Kama ulivyofanya tarehe 17 March 2021 ufanye tena ili utufute machozi ya madhalimu hawa. Amen !!!
Mkuu wangu kwa vile sisi hatuna ubavu wa kupambana na wenye bunduki na mabomu,wakituonea sisi tunamlilia Mungu wa mbinguni, pindi yule mwovu akitoweshwa kwenye uso wa dunia basi tunamshukuru Mungu kuwa amejibu maombi yetu.Mungu hakuhusika na yaliyotokea koridoni by tarehe 10 hivi march 2021
Msimuhusishe. Aliyefanya hivyo mnamuona na kama zimwi tuu halikuli likakwisha linakula tuu na linaendelea kula
Kama ilivyotokea kwa shujaa wa ChatoKuna msemo wa Kiswahili usemao, "Kwa shujaa kulienda kilio na kwa muoga kulienda kicheko"! Muuzingatie sana bandugu!
Dhalim hajali hiloIna umiza sana kwakweli, halafu ana mtoto mdogo.
Kuna mtu anamlilia arudi? Kuna mtu anasema anateseka kwasababu Mka kamchukua mtu wake? Unalingana kilio Cha huyo mama na kifo Cha mwendazake? Wewe ni mjinga kabisa ndio maana ni mwanachama wa Chadema uliyeahidi kuandamana na haukujitokeza! KUMBAVU!!Kama ilivyotokea kwa shujaa wa Chato
Wewe ni bwege tu unayestahili kupelekwa kwa PdidyKuna mtu anamlilia arudi? Kuna mtu anasema anateseka kwasababu Mka kamchukua mtu wake? Unalingana kilio Cha huyo mama na kifo Cha mwendazake? Wewe ni mjinga kabisa ndio maana ni mwanachama wa Chadema uliyeahidi kuandamana na haukujitokeza! KUMBAVU!!
Serikali ya Tanzania itawajibika.Mke wa Frank Mbise, kijana aliyetekwa zaidi ya siku 40, amemuangukia Rais Samia Suluhu Hassan, akiomba msaada wa kumrudisha mume wake nyumbani.
Akizungumza kwa uchungu, mwanamke huyo alisema kuwa amebaki katika hali ngumu akiwa na mtoto mdogo anayehitaji malezi na matunzo ya baba yake.
Ombi hilo limekuja baada ya Katibu Muenezi wa Baraza la Vijana Taifa, Twaha Mwaipaya, kumtembelea nyumbani kwake na kusikiliza kilio chake.
Soma pia: Mahakama yaamuru Polisi kuwatafuta viongozi wa BAVICHA (kina Deusdedith Soka) waliopotea
Mke wa Frank Mbise alieleza kuwa mume wake alikuwa tegemeo kubwa kwa familia yao, na kutekwa kwake kumeacha pengo kubwa, hasa kwa mtoto wao mdogo.
Kwa masikitiko makubwa, alisisitiza kuwa mume wake alikuwa mwema na alikuwa anatimiza majukumu yake kwa familia, hivyo kumkosa kwa muda mrefu kumeathiri maisha yao kwa kiasi kikubwa.
Amemuomba Rais Samia afanye kila juhudi kuhakikisha Frank Mbise anarudi salama uraiani ili familia yao iweze kuendelea na maisha yao ya kawaida.
Haya Mambo CDM wananufaika nayoMke wa Frank Mbise, kijana aliyetekwa zaidi ya siku 40, amemuangukia Rais Samia Suluhu Hassan, akiomba msaada wa kumrudisha mume wake nyumbani.