Mke wa hayati Mrema akimlilia mumewe

Mke wa hayati Mrema akimlilia mumewe

AROOOOH!! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI ZIDUMU FIKRA ZA MWALIMU, APUMZIKE KWA AMANI.
 
Hiyo huwezi kufananisha na kilio cha Hermonize cha kumlilia Magu. Alitegesha kamera akahesabu moja mbili tatu, akapiga hatua kidogo mbele, akaanza kulia. Yaani kwa kulia hata Bashite kwa Harmo haoni ndani
 
Sasa ni wakati wakujilipa maana kulamba dyudyu ya kibabu yataka moyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Huyo mdada bado ni mbichi sana na ameonesha alimpenda sana mwenye namba yake anisaidie plz ,,naweza ogelea Kwa hiyo swimming Yuko poa sana aseee,,,
Kaka tusigombane plz hebu niachie my wangu
 
Leongo lako wewe uliyeleta habari hii ilikuwa ni tuanze kumchambua marehemu na maisha yake kwa ujumla na mkewake. Emu hilo tuliache kwa familia ndo wanajua
 
Back
Top Bottom