Mke wa hivi muache apauke!

Mke wa hivi muache apauke!

Yaani kitanda kimoja na unakosa HAKI.....muhimu turudi kwenye mafunzo yetu ya JANDO,,,,,IS VERY SIMPLE ,,,,,,,Vijana mwakosa CHAMBOO
 
Waafrica bwana...wanajidai wana akiliiii wakati watu wentewe wanawaza na mikundu yao.
Ona watu wanaowaza kwa akili zao mambo wanayoyafanya huko duniani.
Nyie tutulizane tugegedane tuuu
Naona umewapiga nyundo....hahaha
 
Naona umewapiga nyundo....hahaha
Wanakera bwana ...oh ngono mawazi ya kimaskini...pumbavu!
Porno industry marekani inaingiza revenue kuliko tra alafu mtu anasema ngono mawazo ya kimaskini.
Waafrika sie ni wajinga tuu
 
Ah wee sex ndio ndoa yenyewe bro.
Wee tugegedane mambo yakujidai mafilosofa hapa achane i nayo kabisa waafrica hatuna akili.
Aklili muachieni mzungu.
Sasa mtagegedana bila kula?
 
Watu bana! Kaeni chini mzungumze. Aliyekwambia ukiacha kumuhudumia atapauka ni nani? Unatengeneza tatizo jipya...
Ukiona unanyimwa kuna sababu muulize atakwambia
Demi uliposikia huduma upande wa pili inasitishwa ndio unajua kuna kukaa mezani??
Hakuna cha kutengeneza tatizo jipya labda kwake!!
Ila kwangu ni kwamba unaondoka kwenye maisha yangu..
Huwezi ukaendelea kunimalizia oxygen halafu huna chochote nachonufaika nacho..
Demi must go
 
Wenzio tunawaza namna gani chombo tulichokituma kwenda kuchunguza jua kitakamilsha mission yake salama bila kulipuka.wewe huko africa mashariki unawaza ngono tu.pathetic
 
Wenzio tunawaza namna gani chombo tulichokituma kwenda kuchunguza jua kitakamilsha mission yake salama bila kulipuka.wewe huko africa mashariki unawaza ngono tu.pathetic
Na bado unawaza ngono tu maana hata hao wa masayantisti wanawaza kuoana ndoa za jinsia moja,, bado ni ngono tu tena chafu..
 
Kwanini na inakuaje mpaka unafikia kuoa mtu msiyejuana vizuri kiasi cha kushindwa kujadili vitu vidogo kama hivyo? Mlikutanishwa na wazazi kama wahindi?
 
Demi uliposikia huduma upande wa pili inasitishwa ndio unajua kuna kukaa mezani??
Hakuna cha kutengeneza tatizo jipya labda kwake!!
Ila kwangu ni kwamba unaondoka kwenye maisha yangu..
Huwezi ukaendelea kunimalizia oxygen halafu huna chochote nachonufaika nacho..
Demi must go
🤣🤣🤣🤣 nilodhani kwamba utanipa mrejesho kwamba tayari ameshaondoka, kumbe bado yupo unasubiri nini kumtimua?
 
Ebu kwenda zako huku. Eti akili za kimaskini 🤣🤣🤣
Haya nyie wenye akili za kitajiri mpaka leo mnajengewa vyoo na nchi ambazo wanafanya ngono zembe.
Wee tulizana bro enjoy sex akili achia wazungu
😂😂😂😂👊
 
Eeeeh jmn.. Wanaume mnamakasiriko kweli kweli
 
Kwa wanaume walioa kanuni iko hivi:
Kama mke hakupi sex ya kuridhisha, kusex mpaka alazimishwe.

Asubuhi anakuchungulia tu haamki mpaka ahakikishe tayari umevaa suruali unataka kuondoka ndo anakurupuka kitandani.

Huyo wala usihangaike we muache apauke tu, hafai kununuliwa hata chupi, muache kiatu akitembelee mpaka kitoboke ndo ufikirie kumnunulia kingine.

Huyo hajui kujigijigi ndo msingi wa ndoa.
Get yourself an older woman born between 1998 - 2001 and settle down
 
Back
Top Bottom