Mke wa jirani yangu kaja kuomba hifadhi kwa usiku wa leo

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Jirani yangu maarufu kwa jina la mama zey kaja kuomba hifadhi leo ajiegeshe hata sebuleni mpka kesho asubuhi mumewe akili zitakapo mrudia vizuri..kiss chenyewe anasema jamaa yake karudi kalewa pombe aina ya vitoko(vodka) na akamlazimisha kum amber rutty kwani anataka kuijua ladha yake, mke alikataa lakini mume akajitetea kwa sauti ya kilevi akisema hajashindwa kwenda kupata hyo huduma nje kwani anampenda sna mke wake na hawezi kumsaliti ndio maana akanywa pombe nyingi ili wakiamka asubuhi wasikumbuke kama waliruka ukuta.

Ni mambo yakusikitisha kabisa najaribu kumtuliza mke wa jirani yangu hapa yupo glass ya pili ya dompo na kama mnavyojua dompo huwa haidanganyi.
Wkend njema wakuu

Update

Mama zey karudi kwake kamkuta jamaa kashalala
 
Wazazi wake wanaishi wapi?
 
Back
Top Bottom