Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu..konyagi haidanganyiHahahaa kwani umeshapona jirani
Alirudi kwake jana asiku akamkuta yulr baladhuli kashalala...nadhan alilala sebuleniEeheee umefikia wapi mkuu? Kwenye msaada wako?
Alirudi kwake jana asiku akamkuta yulr baladhuli kashalala...nadhan alilala sebuleni
Kwa kifupi sikupiga[emoji23]
Aaarg bora lawama kuliko fedhea...nazipokea lawama kwa mikono miwili malaika mweusiKumbe ndiyo mzembe hivyo?
Ushaniuzi
Aaarg bora lawama kuliko fedhea...nazipokea lawama kwa mikono miwili malaika mweusi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] embu niache kidogo niiende kanisani kwanza kutubu kama kuna lolote lililotokeaBila shaka unaishi dar! Wazembe sana.
Haukujua mwenzako alikuwa anataka nini hata kwa ishara?
Yan wew utakua mwenzetu tu,hata maandishi ya mlevi unaweza kuyang'amua kirahisi tumkuu hii post yako inaonyesha upo vyombo tayari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] embu niache kidogo niiende kanisani kwanza kutubu kama kuna lolote lililotokea
Mim nahisi unajuana na jamaa unataka kuchunguza umpe ubuyu huu hahaha mwambie sijala bana[emoji23] [emoji23]Rudi hapa. Unaenda misa ya saa ngapi?
Au Sunday skul
Sultana mlezi wa wana....hapo ni under influence ya tangu 1977Hahaha sikujua kama wewe unaandikaga ujinga
Duuh sawa kabisaMpe tu hifadhi, ila akimka mwenye mali asubuhi kichwa kipo safi hiyo huduma utatoa wewe.
Umesema kweri mkuu ukizingatia na wakwake IPO siku atapewa hifadhi na haohao jirani zakeKutoa n moyo c utajuri..
MPE hifadhi mkuu...
Hapana mkuu kashaondoka kwaoBado yupo nikupe ushauri?