Mke wa jirani yangu kaja kuomba hifadhi kwa usiku wa leo

Bila shaka unaishi dar! Wazembe sana.
Haukujua mwenzako alikuwa anataka nini hata kwa ishara?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] embu niache kidogo niiende kanisani kwanza kutubu kama kuna lolote lililotokea
 
Fanya kitu kimoja cha busara mpe funguo za chumba chako halafu na ww ukalale na mme mwenzako aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…